nikiwe
JF-Expert Member
- Feb 4, 2013
- 775
- 345
Habari zenyu banaaa ni hvii huyu jamaa ninayeshea naye bed sometimez kachange gafla,anapotezea calls na sms zangu,home kwangu hafiki tena n.k anadai yuko bize ila nahisi kama ameopoa goma lingine,wanajamvi nifanyeje?na mie nivute kitu kipya fasta ama nimsikilizie?amenifanya nipoteze interest na kazi siku 3 hizi,naomba maoni yenu.