Simulizi za the Bold

Nisameheni,
Nilitumia mda mwingi kumrudisha katika hali yake na pia ukizingatia zimetokea misiba miwili kwa mpgo,
hata mimi nilikuwa shocked kwa kweli,

so nilishindwa kujigawa maana si kwa kudekewa kule
,
naona hili ni dongo kwa vile vyama pinzani mkuu.
Hongera kwa kuwa na bibie bega kwa bega,bila shaka umejizolea asilimia zote zilizokuwa zinagombewa na wapinzani wako

Poleni sana.
 
naona hili ni dongo kwa vile vyama pinzani mkuu.
Hongera kwa kuwa na bibie bega kwa bega,bila shaka umejizolea asilimia zote zilizokuwa zinagombewa na wapinzani wako

Poleni sana.
Ahhhhhh wale nilishawapiga kanzu kitambo sana, Na goli kipa hakuwa na hiyana aliniachia goli nishinda kirahisi kabisa!!!
Alafu wale vijana waharibifu next time usiwalinganishe na mm,
Mi mtu na heshima zangu nilisha achaga zamani usela
 
Bora tu mods mlivyounganisha hyo minyuzi yake maana story zake si kazihamishia watsup group humu povu linawatoka la nini tulieni mkunwe wananazi
 

Sawa bhana naona unampiga fix Nifah juu yetu dhidi ya Clkey
Cc fakalava
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…