Simulizi za the Bold

Simulizi za the Bold

Hongera sana Mkuu The bold .

Nlikuwaa katika pita-pita zangu nikaona nikungate sikio kwa haya machache kutoka kwa Jalaluddin Rumi;Anakuambia,

Cheza kama hakuna anayekuona,
Penda kama vile hujawahi kuumizwa roho,
Imba kama vile hakuna atakayekusikia,
Fanya kazi kama vile huna haja ya malipo,
Ishi kama vile mbinguni ni hapa duniani.

Napenda sana kusoma makala zako.Ubarikiwe.
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom