Simulizi ya kusisimua

Simulizi ya kusisimua

Hehehe sasa maoni tunakutumia wewe kizeze au?


Ila kwa vyovyote vile huyu mwandishi nitakuwa namfahamu/ananifahamu sana. Umeitoa wapi hii hadithi?
Atumiwe muhusika mimi ni kimbele mbele changu tu kuinendeleza
 
Hehehe sasa maoni tunakutumia wewe kizeze au?


Ila kwa vyovyote vile huyu mwandishi nitakuwa namfahamu/ananifahamu sana. Umeitoa wapi hii hadithi?
Haaa mkuu umerudi
Au kile kisa cha SITAKI DAWA ckukisoma vizuri
 
Amakweli bora imeisha maana kazi zangu zilikuwa zimesimama kila mara naingia Jamii forum kuangalia kama inaendelea all in all hili nifundisho babukubwa hususani kwa askali wetu kanzu wenye tabia kama afande aliyekatwa kichwa kuwabambikia watu kesi hewa hongera zake mtunzi
 
KanungilaKarim Naona story teller wetu amesahau password tena kama jana...

Du imekuwa hatari sana sijui na mimi niiendeleze manake dah story imekuwa tamu kweli.!
 
Hongera mkuu umejitaid kuimaliza' maoni yangu lete kitu kingine tukonge nyoyo zetu japo tujifariji na huu ukata wa baba J.
 
Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote waonevu, wababe, wasio na utu, wenye tamaa.

Maimuna & her mama is around.
 
Back
Top Bottom