Simulizi ya kusisimua

Kabwe makenika jitu kumbuka katika vita dhidi ya unyama wa mafia MOB.shukrani mkuu kwa hadithi yako ya kusisimua.
 
Kabwe makenika jitu kumbuka katika vita dhidi ya unyama wa mafia MOB.shukrani mkuu kwa hadithi yako ya kusisimua.
mkuu hicho kitabu cha kabwe makenika na yule mzee wa arusha na yule chekbob ziggy ninacho ila karatasi baadhi za mwanzo na mwisho zimekatika hivyo sinajua kinaitwaje na wapi naweza kukipata mtu hatari sana yule na mission ya halima na baba yake kuiba dhahabu Williamson gold mine,daa jamaa kabwe noma sana ni full mafia
naomba msaada wa jina lake na wapi nitakipata,shukrani
 
Ujumbe huu uwafikie mapolisi wote waonevu, wababe, wasio na utu, wenye tamaa.

Maimuna & her mama is around.
Tafuta cha kujifunza. Usisome ili utafute nani ajifunze nini.

Wewe imekufunza nini??????

Sent from my MediaPad 7 Youth 2 using JamiiForums mobile app
 
Tanga kunani....loh! Mie nimeamua kuamini kuwa hadithi hii ni kisa cha kweli...kwan huu ulimwengu kuna mambo yako njee ya uwezo wa kawaida wa kufikiri na kuhoji....! Hongera msimuliaji....hasa ulivomaliza simuliz yako. Lakin hongera sana kwa kubadilika tabia na kuwa mwadilifu. Mwisho kabsa niseme Shikamoo Tanga!
 
mkuu hicho kitabu cha kabwe makenika na yule mzee wa arusha na yule chekbob ziggy ninacho ila karatasi baadhi za mwanzo na mwisho zimekatika hivyo sinajua kinaitwaje na wapi naweza kukipata mtu hatari sana yule na mission ya halima na baba yake kuiba dhahabu Williamson gold mine,daa jamaa kabwe noma sana ni full mafia
naomba msaada wa jina lake na wapi nitakipata,shukrani
Mkuu kile kitabu kinaitwa UNYAMA WA MAFIA.nilikisoma miaka ya 90,sema sijui kinapatikana wapi sababu mi siko tz.
 
SIMULIZI : YALIYONIKUTA TANGA
MSIMULIAJI : MARTIN MEKU
MAHALI : TANGA
SEHEMU: Live another day.
ILIPOISHIA
Msimuliaji akiwa na mama yake kwa mganga wanaanza safari ya kurudi nyumbani kwa ahadi ya kwenda tena kwa mganga kupeleka kile kisanduku chenye dhahabu.
SASA ENDELEA...
Msimuliaji akiwa nyumbani kwao anatafakari aendelee kuturushia story au atangaze kitabu kinapatikana duka gani tukanunue, ghafla mlango wa chumba chake unagogwa kwa fujo sana. Anatoka huku amechukia mno, kufungua mlango asione mtu. Akatoka mpaka nje ya nyumba na asione mtu pia. Akaamua kurudi ndani.
Alipotaka kuingia chumbani, akashtuka kuona mlango umefungwa kwa ndani. Akaamua kuchungulia kupitia kwenye kitasa, hakuamini macho yake alipomuona maimuna amekaa kitandani anaipitia hadithi ambayo bado haijatumwa mtandaoni kwa umakini mkubwa huku akibubujikwa na machozi, pembeni yake kulikuwa na upanga uliojaa damu sambamba na kile kichwa cha Erick.
Je, maimuna ataifuta hadithi tunayoisubiri kwa hamu? Unafikiri msimuliaji atafanikiwa kuingia ndani kwake?
Usikose sehemu ya pili ya LIVE ANOTHER DAY
Haahahahahaha mkuu umeua
 
Ama kwa hakika Tanga Ina vituko Sana, nimesoma hii simulizi Kama vile naangalia muvi Mana maeneo yote aloyataja kwenye hii simulizi nayajua vema, kuanzia Barbara ya 8 jamaa, msambweni Kota za polisi Hadi magomeni mbuyu Kenda. Pole na hongera kwa kutupa funzo la kuwa waadilifu kwa Kila kazi tunazozifanya.
 
Back
Top Bottom