Kizee chenzangu nimeahirisha mama. Ntakuja kesho. Kwa sasa ishia tu hapo ulipokewishasoma. Palipobaki ntakumalizia kesho. Si unajua sisi wazee kutembea usiku siyo wa eeegh? Mwambie mjukuu akurudishe nyjmbani tu!Ivyo ndivyo sisi wazee tunahadithiana adithi njoo kizee chenzangu nakungoja apa barabaran
Ivyo ndivyo sisi wazee tunavyo simuliana adithi njoo kizee chenzangu nakungoja apa barabaran
Nawe tupe kisa chakoDah hii stori hii, inanikumbusha kitu, ila kama hii ni simulizi tuu, sawa ila haya mambo yapo na wengine yashatukuta japo c kwa dhulma, ila huyu polisi safar hii aliingia cha kike, am waiting
Mimi niliwahi kupotea ndugu, wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa, kuna ka mbwa kalipita mitaa ya home, enzi hizo tulikuwa tunafuga mbwa kama watano, wale mbwa wetu walikuwa na wakali sana, brother alikuwa anawachanganyia bangi na gongo ktk msosi wao, sasa hiyo cku cjui kalikotokea nilipomuona nikaanza mkimbia alikuwa kakonda sana, nikapanda juu ya mpera, sasa wale mbwa wetu c wakamuona wakawa wanabweka sana, kiasi walivunja mlango wa banda wakaanza mkimbizayule mbwa, sasa mimi kuona huu msala ikanibidi nianze kuwafuatilia wale mbwa wetu kila nilipokuwa nawaita ndivyo walivyokuwa wakitokomea porini, nakumbuka ilikuwa saa tatu asubui niliwafuatilia huku na mimi nawakimbiza maana wale mbwa wetu walikuwa wakorofi sana, nikajua nikiwaacha watauma watu, hivyo nia yangu ilikuwa niwarudishe home, haikuwa hivyo, nilipotelea msituni na nilikuja pata ufumbuzi wa kutoka huko baada ya siku tatu, niliona mengi ya kuogofya ila Naamini mungu tu aliamua kunilinda, sitokuja niisahau hii...hakuwa mbwa yule, nikuja kujua huko porini baada ya kumuona akichange....aaagh ndo hivyo....Nawe tupe kisa chako
Mbona umekatisha alivo change akawaje? Na uliishi vipi siku tatu na pia ulitokaje huko poliniMimi niliwahi kupotea ndugu, wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa, kuna ka mbwa kalipita mitaa ya home, enzi hizo tulikuwa tunafuga mbwa kama watano, wale mbwa wetu walikuwa na wakali sana, brother alikuwa anawachanganyia bangi na gongo ktk msosi wao, sasa hiyo cku cjui kalikotokea nilipomuona nikaanza mkimbia alikuwa kakonda sana, nikapanda juu ya mpera, sasa wale mbwa wetu c wakamuona wakawa wanabweka sana, kiasi walivunja mlango wa banda wakaanza mkimbizayule mbwa, sasa mimi kuona huu msala ikanibidi nianze kuwafuatilia wale mbwa wetu kila nilipokuwa nawaita ndivyo walivyokuwa wakitokomea porini, nakumbuka ilikuwa saa tatu asubui niliwafuatilia huku na mimi nawakimbiza maana wale mbwa wetu walikuwa wakorofi sana, nikajua nikiwaacha watauma watu, hivyo nia yangu ilikuwa niwarudishe home, haikuwa hivyo, nilipotelea msituni na nilikuja pata ufumbuzi wa kutoka huko baada ya siku tatu, niliona mengi ya kuogofya ila Naamini mungu tu aliamua kunilinda, sitokuja niisahau hii...hakuwa mbwa yule, nikuja kujua huko porini baada ya kumuona akichange....aaagh ndo hivyo....
Mbona juu juu mkuu, embu tiririka tory kamili tujue.ujue duniani kuna vitu vya ajabu sana.wakati mwingine anasimulia kama story tu ya kuburudisha, kuna mwingine kayapitia kabisaa.Mimi niliwahi kupotea ndugu, wakati nipo darasa la tano, kisa ka mbwa, kuna ka mbwa kalipita mitaa ya home, enzi hizo tulikuwa tunafuga mbwa kama watano, wale mbwa wetu walikuwa na wakali sana, brother alikuwa anawachanganyia bangi na gongo ktk msosi wao, sasa hiyo cku cjui kalikotokea nilipomuona nikaanza mkimbia alikuwa kakonda sana, nikapanda juu ya mpera, sasa wale mbwa wetu c wakamuona wakawa wanabweka sana, kiasi walivunja mlango wa banda wakaanza mkimbizayule mbwa, sasa mimi kuona huu msala ikanibidi nianze kuwafuatilia wale mbwa wetu kila nilipokuwa nawaita ndivyo walivyokuwa wakitokomea porini, nakumbuka ilikuwa saa tatu asubui niliwafuatilia huku na mimi nawakimbiza maana wale mbwa wetu walikuwa wakorofi sana, nikajua nikiwaacha watauma watu, hivyo nia yangu ilikuwa niwarudishe home, haikuwa hivyo, nilipotelea msituni na nilikuja pata ufumbuzi wa kutoka huko baada ya siku tatu, niliona mengi ya kuogofya ila Naamini mungu tu aliamua kunilinda, sitokuja niisahau hii...hakuwa mbwa yule, nikuja kujua huko porini baada ya kumuona akichange....aaagh ndo hivyo....
YinshaAllah kesho, ntahadithia ilikuwaje kwa saa hizi siwezi kidogo nna kazi za watu nnazimalizia, ila ni kweli haya mambo yanawakuta wengi tuu, na kuna wakati unapohadithia unahisi kuna mzigo flani umeutua moyoni..naamininwapo watu wengi tuu wanapotea katika mazingira kama haya..ni wengi na yapo yanatokea..kesho inshaAllah nitaweka kisa kilichinikuta huko na vipi nilisalimika kurudi kwa uwezo wa Mungu maana sikuwa na ujanja wala mbinu yoyote ya kunifanya nirudi salama nyumbani zaidi ya miujiza tu ya mungu,,,ila nakumbuka kila kitu mpaka hii leo.Mbona juu juu mkuu, embu tiririka tory kamili tujue.ujue duniani kuna vitu vya ajabu sana.wakati mwingine anasimulia kama story tu ya kuburudisha, kuna mwingine kayapitia kabisaa.