Simulizi ya kusisimua kutoka Kigoma

Simulizi ya kusisimua kutoka Kigoma

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
141,433
Reaction score
283,714
Siku zote kwenye hii mikutano ya CHADEMA kunakuwa na vijimambo vizuri sana nyuma ya Pazia , hebu fuatilia kisa hiki

Mtoto alipewa kuku na Mama yake ili amfuge, mtoto akaendelea kufuga kuku wake na alimpenda sana .

Baada ya Freeman Mbowe kuingia Kigoma kwenye Oparesheni 255 , mtoto huyo mdogo akatangaza kutaka kuwa Mwanasiasa, akamwambia Mama yake kwamba anataka kumpa zawadi Mbowe , na anataka kupiga naye picha, mama akamuuliza unataka kumpa zawadi gani? Mtoto akajibu nitampa yule Kuku wangu .

Baada ya Freeman Mbowe kupata taarifa hii , ameahidi kwamba atahakikisha huyo mtoto anakuwa mwanasiasa kama ndoto yake inavyomtuma , Mbowe alivua Skafu yake na kumvisha mtoto huyo .

mambo yalikuwa hivi

FB_IMG_1684836779788.jpg
FB_IMG_1684836774506.jpg
FB_IMG_1684836769368.jpg


Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Machadema siyapendi Ila mbowe ni mtu na hilo tukio nalikubali dogo kafanya vizuri, Ila kwa mbali katakuja kusaliti hio movie
 
wakati tunasoma primary , mwal alikuwa anatuuliza, what are you going Tobe!? wengine tukasema I'M GOING TO BE A PRESDENT , lkn ss hv ni wakulima. dogo aende shule aache bwebwe !!
 
Back
Top Bottom