Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,671
Nlikopi na kupesti kutoka wapi??Mkuu wachunie tu mwenyewe si ulicopy&paste somewhere?!
LABDA ASEME AMESHIRIKI KUTAFSIRI NA KUILETA HUMUMkuu wachunie tu mwenyewe si ulicopy&paste somewhere?!
Kabisa Mkuu! Niko kwenye michakato ya kufanyia kazi ushauri wako ulionipa toka makala ile iliyopita.. Nahisi inabidi niongeze spidi ya utekelezajiWezi hawa
na wewe fanya namna kipaji hiki kikuingizie pesa...
Wabongo bhanaLABDA ASEME AMESHIRIKI KUTAFSIRI NA KUILETA HUMU
hiyo stori yako niliisha isoma sehem ...sikumbuki gazet...na ilimuhusisha jamaa mmoja mzanzibar aliekua mpishi wa osama..kipind anahukumiwa kifungo cha maisha marekaniLeo asubuhi nilipofika kwenye meza ninayo nunua magazeti siku zote jicho langu likanasa kwenye gazeti la KISIWA.
Kwenye ukurasa wa mbele habari iliyopewa uzito wa juu inasomeka; USIYOYAJUA KUHUSU KIFO CHA OSAMA BIN LADEN.
Nikawa curious kidogo, so nikanunua hilo gazeti nione kama 'yaliyomo yamo?'.. Kufungua ndani duuuuuuuuuuuuhhh gazeti la kisiwa sio 'watu wa mchezo mchezo' yani yani 'wamekopi na kupesti' 100% makala yangu ya 'GERANIMO E.K.I.A: Kutoka makao makuu ya CIA, Langley..'
Sio mbaya though binafsi nimefurahi kuwa makala zetu JamiiForum zimeshiba ndio maana JF imekuwa kimbilio la vyombo vya habari kupata news na makala kama hizi ila ninachowaomba gazeti la KISIWA na wengineo wakumbuke kutoa credit kwa JF kuwa ndio source ya makala yao na mwandishi The Bold.. Fanyeni hivyo wakuu nimeona pale mwishoni mmeandika 'itaendelea toleo lijalo' kwahiyo toleo lijayo toeni credit wakuu (najua mpo humu)..... na kingine nasubiria mnirushie 'ya vocha', LOL
Hahahaha!! Hivi kwanini watu mkiwa mmejificha nyuma ya keyboard mnapenda kujitoa ufahamu hivyo???nilisha isoma siku nyingi kabla huja ileta we sema ulitafsiri, tena hata wikipedia ipo ivo ivo
VochaLeo asubuhi nilipofika kwenye meza ninayo nunua magazeti siku zote jicho langu likanasa kwenye gazeti la KISIWA.
Kwenye ukurasa wa mbele habari iliyopewa uzito wa juu inasomeka; USIYOYAJUA KUHUSU KIFO CHA OSAMA BIN LADEN.
Nikawa curious kidogo, so nikanunua hilo gazeti nione kama 'yaliyomo yamo?'.. Kufungua ndani duuuuuuuuuuuuhhh gazeti la kisiwa sio 'watu wa mchezo mchezo' yani yani 'wamekopi na kupesti' 100% makala yangu ya 'GERANIMO E.K.I.A: Kutoka makao makuu ya CIA, Langley..'
Sio mbaya though binafsi nimefurahi kuwa makala zetu JamiiForum zimeshiba ndio maana JF imekuwa kimbilio la vyombo vya habari kupata news na makala kama hizi ila ninachowaomba gazeti la KISIWA na wengineo wakumbuke kutoa credit kwa JF kuwa ndio source ya makala yao na mwandishi The Bold.. Fanyeni hivyo wakuu nimeona pale mwishoni mmeandika 'itaendelea toleo lijalo' kwahiyo toleo lijayo toeni credit wakuu (najua mpo humu)..... na kingine nasubiria mnirushie 'ya vocha', LOL
Labda kilichotokea ni hivi: Wewe ulisoma mahali ukatafsiri kwa kiswahili. Na wao wakasoma mahali nao wakatafsiri kwa kiswahili. Hivyo ni lazima zitafanana. Nimeshangaa na wewe unasema hiyo ni ''makala yako'' wakati hii habari imeandikwa siku nyingi tena kwa kiingereza na kwa undani zaidi.Nlikopi na kupesti kutoka wapi??
Oh kwahiyo ndo kusema ulikuwepo ama? ulihusika upande upi labda kule hall alipoketi obama au ulikuwa kwa battle arena?! au ndo kusema we ndiye uliilipua ile helkopta iliyogonga ukuta?!Nlikopi na kupesti kutoka wapi??
Hahahaha!! Hivi kwanini watu mkiwa mmejificha nyuma ya keyboard mnapenda kujitoa ufahamu hivyo???
Anyway, asante kwa kuja..
operation neptune spear ipo wiki, au labda uniambie na wewe ni navy sealHahahaha!! Hivi kwanini watu mkiwa mmejificha nyuma ya keyboard mnapenda kujitoa ufahamu hivyo???
Anyway, asante kwa kuja..
Ubaya ni kwamba haiko hivyo? Mimi nimefanya 'research' yangu kutoka vyanzo mbali mbali na nikaandika kwa mtazamo wangu.. Wao pia walipaswa kufanya research yao na kuandika makala yao but kama wanachukua makala niliyoandika mimi walipaswa kutoa credit..Labda kilichotokea ni hivi: Wewe ulisoma mahali ukatafsiri kwa kiswahili. Na wao wakasoma mahali nao wakatafsiri kwa kiswahili. Hivyo ni lazima zitafanana. Nimeshangaa na wewe unasema hiyo ni ''makala yako'' wakati hii habari imeandikwa siku nyingi tena kwa kiingereza na kwa undani zaidi.