Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,670
Leo asubuhi nilipofika kwenye meza ninayo nunua magazeti siku zote jicho langu likanasa kwenye gazeti la KISIWA.
Kwenye ukurasa wa mbele habari iliyopewa uzito wa juu inasomeka; USIYOYAJUA KUHUSU KIFO CHA OSAMA BIN LADEN.
Nikawa curious kidogo, so nikanunua hilo gazeti nione kama 'yaliyomo yamo?'.. Kufungua ndani duuuuuuuuuuuuhhh gazeti la kisiwa sio 'watu wa mchezo mchezo' yani 'wamekopi na kupesti' 100% makala yangu ya 'GERANIMO E.K.I.A: Kutoka makao makuu ya CIA, Langley..'
Sio mbaya though binafsi nimefurahi kuwa makala zetu JamiiForums zimeshiba ndio maana JF imekuwa kimbilio la vyombo vya habari kupata news na makala kama hizi ila ninachowaomba gazeti la KISIWA na wengineo wakumbuke kutoa credit kwa JF kuwa ndio source ya makala yao na mwandishi The Bold.. Fanyeni hivyo wakuu nimeona pale mwishoni mmeandika 'itaendelea toleo lijalo' kwahiyo toleo lijayo toeni credit wakuu (najua mpo humu)..... na kingine nasubiria mnirushie 'ya vocha', LOL