Simulizi: Wanawake ni wauaji

Tatizo sjui nani anapenda au la wengine wanafatilia kimya kimya sio mbaya ukinisaidia kutag kwa niaba
Hapa ungeenda kuwacheki hata kwenye majukwaa ya hadithi yale
Wako wengi tu mule wengine utakuwa unawajua
 
Ni kweli kabisa... wanawake wana visirani sana visvyo na kichwa wala miguu...

Mwenzake kutokupokea simu, anaanza kumshutumu, kaja mbio mbio akidhani atafumania lakini holla!

Bado akaendelea kutafuta sababu kwa kisingizo cha jamaa kuangalia kipindi kinachohusu wanawake ni wauaji basi imekua kosa...

Hahahaha...

Cc: mahondaw
 
Ni story nzuri, ina mafunzo, inasikitisha ila ni ndefu....niliisoma somewhere ( kamishina Shabby na Mr X) all the best wasomaji......
 
Ni story nzuri, ina mafunzo, inasikitisha ila ni ndefu....niliisoma somewhere ( kamishina Shabby na Mr X) all the best wasomaji......
Kumbe usha soma
Poa
 
Tatizo sjui nani anapenda au la wengine wanafatilia kimya kimya sio mbaya ukinisaidia kutag kwa niaba
Tunapenda sana tu, tatizo linakuja arosto zikianza, tunafualia kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Tunapenda sana tu, tatizo linakuja arosto zikianza, tunafualia kimya kimya[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahha arosto inakera sana ndio mana najaribu kutupia ambazo zipo zote
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…