miana amor
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 966
- 1,495
Hahahahaaa...mm nilijua tu njogopa hawez kurud ndo kashatelekeza familia ivoHajarudi toka akimbie pale kwenye fumanizi
Hahahahaaa...mm nilijua tu njogopa hawez kurud ndo kashatelekeza familia ivoHajarudi toka akimbie pale kwenye fumanizi
Eeeenh nyinyi ndo jan asubuhi mmekula mkakimbia kutoa vyombo.....usiku huu njaa imewarudisha tena faini inawahusu ngoja nimwambie mwenyekiti🤣🤣🤣🤣Hapa leo tunachungulia kila mala kama kina soraya wanavyofatilia talib na genge lake pale mtini pub
tayali nishafanya ivo muda tuWajumbe ni muda wa kulala hakikisha umetoa like ukimaliza kusoma sio unakurupuka tu.
jannelle karibu kijijini
mbuzi wa mshenga Muite mzee Njogopa alete dumu la ulanzi tumkaribishe mgeni
mankizzo finyango Mani Fabian msije lala njaa wakati kuna matembele hapo uani chumeni ila hakikisheni mmeyachambua vizuri mengine yana wadudu
anangalia kwanza mwelekeo wa upepo. Ukitulia atarudi tuHahahahaaa...mm nilijua tu njogopa hawez kurud ndo kashatelekeza familia ivo
Eeeenh nyinyi ndo jan asubuhi mmekula mkakimbia kutoa vyombo.....usiku huu njaa imewarudisha tena faini inawahusu ngoja nimwambie mwenyekiti
Asubuhi njema jamani ukifika muda wa kifungua macho. tutaonanaEeeenh nyinyi ndo jan asubuhi mmekula mkakimbia kutoa vyombo.....usiku huu njaa imewarudisha tena faini inawahusu ngoja nimwambie mwenyekiti
Alf mkisha pata kiamsha futa mnakimbia,mnarudi kwenye cha usikuAsubuhi njema jamani ukifika muda wa kifungua macho. tutaonana
Mbona mapema sana hii. mutu bado anahudumia ndoa yakeTunaomba cha asubuhi ata kimoja tu@Abou shaymaa
kabisaKumekucha wazee
kwema mkuu Daudi1kabisa
huyo misokoto ndo imemharibuTeam talib wanaenda kuozea jela,wakati team higgno tunainjoy na mtoto mzuri soraya
jamaa anavuta bangi,yaan hapumui utadhani garimoshihuyo misokoto ndo imemharibu
ni muda wa kumuita Abou Shaymaa au tusubirie amhudumie shemeji yetukwema kabisa
Mkuu miana amor usimsumbue muandishi, wakati huu yupo na shemeji, ambae wewe ni wifi yako, wanatutafutia kizazi cha muandishi bora wa baadae.Tunaomba cha asubuhi ata kimoja tu@Abou shaymaa
mwandishi bado anapiga cha mzee njogopaMkuu miana amor usimsumbue muandishi, wakati huu yupo na shemeji, ambae wewe ni wifi yako, wanatutafutia kizazi cha muandishi bora wa baadae.