VINICIOUS JR
JF-Expert Member
- Dec 29, 2022
- 253
- 566
HAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SADmimi kama mwenyekiti wa kijiji nasema waitwe wote, wapewe faini
HAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SADmimi kama mwenyekiti wa kijiji nasema waitwe wote, wapewe faini
Abou Shaymaa tumetoka naye mbali kuanzia kwa kina Idd wa Zanzibar mwenzake na Njogopa, uje kwa Deusi dereva wa BMW mpaka hukuHAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SAD
Katekwa na kina Sinamengi😀😀😀Labda tu ndugu wajumbe, tangu Abou Shaymaa aende kwenye mwenge amebadilika, tuunde kamati usijekuta alikutana na Hild akampa mlango usio!!
mwenyekiti nitume mimi niwafuate maana wapo pale kwenye bar wanapojifichaga.mimi kama mwenyekiti wa kijiji nasema waitwe wote, wapewe faini
ila huyu jamaa hana kona kona, maana hii simulizi yake ya tatu sasa anaileta hapa jf.HAWA WALETA SIMULIZI WANAVOANZA WANAACHIA EPISODE ZA KUTOSHA ILA MWISHONI WANAANZA MARINGO HADI WABELEZWE.. SO SAD
Kabisa mwenyekiti ita watu wakomimi kama mwenyekiti wa kijiji nasema waitwe wote, wapewe faini
Yupo vizur kwa kweliiiiila huyu jamaa hana kona kona, maana hii simulizi yake ya tatu sasa anaileta hapa jf.
Walete hapa, ukimkuta Njogopa aanze kula fimbo hapo hapomwenyekiti nitume mimi niwafuate maana wapo pale kwenye bar wanapojifichaga.
Tuanze na weweKabisa mwenyekiti ita watu wako
😂😂😂😂😂fimbo za njogopa nipigeni mmWalete hapa, ukimkuta Njogopa aanze kula fimbo hapo hapo
Mwenyekit sasa mm kosa langu ni lipiTuanze na wewe
Njogopa =Idd(asali hatiwi kidole)😂😂😂😂😂fimbo za njogopa nipigeni mm
kwanini umewaacha wamerawanyika vyombo wameacha hapo hapo halafu baadaye waanze kulalamika njaaMwenyekit sasa mm kosa langu ni lipi
😂😂😂iddi mpembaNjogopa =Idd(asali hatiwi kidole)
mzee wa kimoja kwa mwezi😂😂😂iddi mpemba