SIMULIZI: Tembele la uwani (EDGAR MBOGO)

TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA SABINI NA SABA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA SABINI NA SITA: kisha akawatazama wakina Jamal kuona watachangia nini katika habari ile inayowahusu wakina Higgno na baba yake, “boss hapo kweli kuna utata, kama kweli ulikuwa ni mpango umepangwa na Higgno, ambae kiukweli sijawahi kumsikia kabisa, basi pia kuna mtu wako wa karibu alihusika katika swala la kumteka Soraya” alisema Jamal, na hapo Mahamud akashtuka kidogo, huku moyoni akimpuuza Jamal, huyu nae, kama amekosa cha kusema si aseme tu” alijisemea kimoyo moyo, bwana Mahamud, “hata mimi nilitaka kusema hivyo hivyo, yaani boss kama ilikuwa hivyo inabidi uwe makii sana katika uchunguzi wako?” alisema Ayubu, na hapo Mahamud akaanza kutilia maanani kauli zile mbili zinazo fanana, “kivipi hebu nifafanulieni” alisema Mahamud kwa sauti ya kuchanganyikiwa na jambo lile…… ENDELEA NAYO……..
na hapo Jamal akaanza kufafanua, “umesema mpaka hapo ulikuwa humjuwi yule kijana, wakati huo huo mipango uliyokuwa unaipanga iliwafikia watekaji na kukuambia uachane nayo mara moja, huoni kama kuna mtu alikuwa anawaeleza kinachoendelea?” aliuliza Jamal , na hapo Mahamud akakubali kwa kichwa, “mh! sasa ni nani anaweza kuwa anahusika?” aliuliza Mahamud akiwatazama kwa awamu wote watatu, “boss hapo hatuwezi kujuwa ni nani, ila cha msingi inabidi uwe makini, na kuhusu huyo kijana labda nikimuona nitaweza kujuwa” alisema Jamal na hapo Mahamud akapata wazo la kwenda na Jamal nyumbani kwaajili ya kupata chakula cha mchana na wageni, lengo likiwa ni kuwachunguza wakina Higgno na baba yake.********
Naam sasa tuende shambani kwa Higgno, ambae sasa alikuwa anatoka shambani kwa baba yake mdogo kuchukuwa matunda ya aina mbali mbali, ikiwa ni kama zawadi kwa familia ya mzee Mahamud, hiyo ni desturi ya makabila ya wenyeji wa kusini mwa Tanzania, na kanda nyinginezo, kasoro watu wa pwani ya afrika mashariki, kwamba unapoenda kumtembelea mtu unapaswa kumbebea zawadi ya mavuno ya shambani, na kwa kuzingatia hilo tayari Higgno kule shambani kwake alisha andaa kwale (kanga wa porini) wawili, ni kati ya sita waliobakia bandani kwake, alisha andaa samaki wakubanika kadhaa, na pia alisha chimba mihogo na viazi, vyote kwaajili ya kubeba zawadi kwa mtu ambae sio tu kuuona umuhimu wake, pia ameonyesha kuhitaji kumsaidia mambo mengi katika maisha yake, yaani mzee Mahamud, japo yeye sio mualikwa mkuu, lakini ni mmoja wa wanafamilia wa mzee Frank, alie alikwa aende na familia, hakujuwa kuwa yeye ndie alie alikwa aende na wazazi wake.
Higgno ambae alisha wasiliana na baba yake asubuhi ile na kupeana maagizo ya kufanya, na ramani ya kukutana mjini, pamoja na vitu vya kubeba na muda wakuondoka, sasa akiwa na mfuko mdogo wa mtunda mkononi mwake, alitembea njia nzima akiwaza na kukumbuka jinsi usiku wa jana ulivyokuwa kati yake na Soraya, mschana mzuri chotara wa kiarabu, ambae mpaka sasa hakuamini kama kweli amekutana nae na kuweza kufanyanae mapenzi, sijui tuite ni ugeni wa mambo au ushamba, maana Higgno, alikumbuka tukio moja baada ya jingine na mambo waliyo yafanya na mpenzi wake Soraya usiku wa jana yake, wakifanikiwa kurudia mara nne na kila mmoja akiridhika kwa kila tendo moja, “Higgno tusiingize kwanza mwenzio nasikia utamu tukifanya hivi” aliwahi kusema Soraya, ambae alikuwa ameikamata dudu ya Higgno aliekaa mkao wa push up, Soraya akiipitisha dudu kwenye kikunde chake kwa kukisugua kichwa wazi kwenye kunde yake, sambamba na viuno vya mgandisho, huku kitumbua kikilowa ute kwa fujo, kwani na wewe unajisikia raha” aliuliza Soraya ambae sauti yake ilikuwa imeelemewa na pumzi nzito zilizotokea kwa shida puani, huku mkono wake ukiendelea kukisugua kikunde chake kwa kutumia dudu ya Higgno, Higgno aliitikia ule muitikio wa mwizi wa sukari bila kufumbua mdomo, huku anasikilizia mtekenyo kwenye kichwa cha dudu.
Dakika tano mbele Soraya alishindwa kuvumilia na kujikuta akilenggesha dudu kwenye mlango wa kitumbua na kuanza kupandisha kiuno chake kuifanya dudu izame ndani, nayo ikateleza jambo kwa shida kidogo kutokana na udogo wa njia, na akiwa bado ameishika dudu Soraya aliendelea kukata kiuno chake kwa kukipandisha juu, akisaidiwa na Higgno ambae alikuwa anakishusha cha kwake taratibu wakati mwingine akikizungusha kama vile anaskimu ukuta kwa cementi nyeupe, “tamu, Higgno nitakuwa nakuja kila siku tufanye, usifanye na mwanamke mwingine” alisema Soraya kionekana kuzidiwa na utamu uliopatikana, “Higgno nimekuachia maziwa yanyonye…… (alisema Soraya huku anaachia dudu ijiongoze yenyewe, na kulishikilia ziwa lake la kushoto) ninyonye mpenzi wangu nijisikie utamu” alisema Soraya huku anasogeza titi lake dogo, na kulisogeza mdomoni kwa Higgno ambae moja kwa moja alitoa ulimi na kuulaza kwenye chuchu iliyosimama vyema, na kuanza kuchezea chuchu hiyo kwa kutumia ncha ya ulimi wake, “tamu….nasikia utamu…… natamani tuwe tunafanya kila siku nipate utamu…… unamkojo unanibana… usitoe nikukojoleeee….” alisema Soraya, sambamba na miguno mfululizo, ya kusikilizia utamu, sijui inakuwaje, maana kwenye mchezo Soraya alikuwa anaongea sana, wakati mwingine hata alipomaliza aliweza kujisikia aibu kwa yale aliyokuwa ameyaongea, kabla hajafika mwisho wa safari ya kwanza.
Higgno aliendelea kutembea huku anakumbuka jinsi walivyoonekana kuuzowea mchezo, hasa walipo badili mtindo katika awamu ya pili ya mchezo wao, “ngoja nika kwa juu, tufanya kama tulivyo fanya cha nguo nguo, lakini wewe tulia mimi nita jifanyisha mwenyewe” alisema Soraya akimaanisha Higgno alale chali na yeye akae kwa juu akiikalia dudu, lakini kwa kujikadiria mwenyewe, maana bado hofu ya kuumizwa alikuwa nayo, basi nae Soraya alikaa juu ya Higgno na kuanza kwa kuishika dudu ya Higgno akiilengesha kwenye kitumbua, kisha akaanza kujishusha taratibu na kujipandisha, na kila alipofanya hivyo na utamu kumzidia ndivyo alivyo achia dudu ijiongoze yenyewe na yeye kusikilizia utamu kwa viuno ya Higgno.
Hakika mawazo ya Higgno yalimsababishia atembee huku dudu imesimama vibaya sana, “yaani kule mjini sitokaa mpaka usiku, saa kumi tu narudi zangu” aliwaza Higgno ambae aliona kuwa kukaa sana kwa Mahamud, kunge mchelewesha kurudi nyumbani ambako angekaa akimsubiri Soraya.********
Naam nyumbani kwakina Soraya kulikuwa kume changamka sana, redio kubwa ya nyumba ile ili kuwa inasikika kwa sauti kubwa ikiliza nyimbo za qaswida mbali mbali za kiarabu na kiswahili, sambamba na harufu nzuri ya vyakula vya aina mbali mbali, vya asili ya kiarabu, bila kusahau harufu iliyoongoza ikiwa ni ya pilau na biryani, ikisaidiwa na harufu nzuri ya kutoa mate mdomoni ya nyama za kuchoma, ambazo ni kuku mbuzi na ng’ombe, walionekana wafanyakazi wakihangaika huku na huku kuandaa vyakula vile mahususi kwaajili ya wageni, ukiachilia wafanyakazi wapale pale ndani, pia kulikuwa na watu wachache walioalikwa kuja kushiriki chakula kile cha mchana, japo hawakuwa wengi kama wa siku ile ya barua.
Soraya na Laylah, walikuwa chumbani kwa Soraya wakiendelea kufanyiana mapambo mbali mbali, japo ilikuwa kwa msharti mbali mbali ya kuto kuona baadhi ya sehemu za mwili wa Soraya, Laylah aliifanya kazi hiyo huku wakiendelea kupanga mipango ya mtego wa usiku, “lakini Laylah, huoni kama ni hatari kukaa tunasubiria kama wezi watakuja ili tutoe taarifa polisi, wakitukaba je tutafanyaje?” aliuliza Soraya, wakiwa tayari wamesha chunguza funguo ipi iliyo chukuliwa na kubaini kuwa ni funguo ya mlango wa nyuma, “sisi tutajibanza kwenye gari upande wa kwenye maduka, tukiwaona wanakuja tu, tunapiga simu polisi, halafu inabidi tumuambie Higgno tuwe nae pamoja” alisema Laylah, mtoaji wa mpango ule, huku pua zao zikinusa harufu nzuri ya vyakula vilivyokuwa vinaendelea kuandaliwa huko nje, maana tayari mbuzi alisha chinjwa pamoja na kuku kadhaa, pia zilisha nunuliwa kilo kadhaa za nyama ya Ng’ombe.
Kusikia waongee na Higgno nae awepo eneo la tukio hapo Soraya akatabasamu, “hapo sawa, ngoja kwanza tuongee nae, akikubali ndio tutafute namba ya polisi ya kuwapigia baadae” alishauri Soraya, “namba ya polisi ipo, sasa Higgno akikataa tutafanyaje?” aliuliza Laylah, “mh! sidhani kama anaweza kukataa, ila akikataa basi nitamueleza baba ili ajuwe la kufanya” alijibu Soraya, aliekaa mbele ya kioo, akiendelea kufungwa nywele na kuvalishwa mikufu ya dhahabu, “lakini cha msingi ni kwamba kama tukiwaona wezi wanakuja hapa nyumbani kwenu, basi ni moja kwa moja kuwa Talib anampango mbaya na familia yenu” alisema Laylah, kwa msisitizo, “we unadhani kama alisema waniuwe kabisa unadhani ni mtu mzuri huyo?” aliuliza Soraya, kwa sauti ya hasira, “ila ana roho ngumu jamani sijui kwa nini anafanya hivi, wakati baba yako amejitahidi kumfanyia kila kitu, sema ujinga wake ndio unao mponza” alisema Laylah, ambae licha ya maongezi lakini alikuwa makini kuendelea kumuweka sawa Soraya.
Naam wawili hawa waliendelea kuongea hili na hili, huku Laylah akiendelea kumlemba Soraya kweli kweli, kiasi kwamba hata baba yake ange pishana nae muda huu pale sokoni nadhani asinge mtambua, “Ila kwa jinsi ulivyopendeza Soraya, sidhani kama Higgno atakutambua” alisema Laylah, japo ulikuwa utani lakini ni kama aliongea ukweli, maana mschana huyu alizidi kuwa mzuri wa sura na mapambo aliyo yajaza mwili sambamba na gauni lake refu na zuri, ungesema la send off ya kihindi au kiarabu, “mh! anisahau wakati mimi ni mchumba wake?” alisema Soraya huku anajichekesha na kujiangalia kwenye kioo kikubwa mbele yake, “lakini vipi da’Soraya, na jana mlifanya tena?” aliuliza Laylah kiuchokozi, nakumfanya Soraya acheke kicheko laini kilicho ambatana na aibu nyingi sana, “da! Laylah bwana kwanini unauliza hivyo, we unadhani mtu amesha simamisha hivi, halafu utaacha kumpa?” aliuliza Soraya huku anaendelea kucheka cheka, Laylah nae akacheka, “lakini si umeona haijauma?” aliuliza Laylah, wakiendelea kucheka cheka, “wala haijauma, nime jisikia raha tu! hata asubuhi tulifanya tena, tulitumia mbinu ya juzi wala husikii kuuma” alisema Soraya, ambae alionekana kupendezewa na dudu, na leo vipi utaenda tena?” aliuliza Laylah, na Soraya akaitikia kwa kichwa huku anacheka cheka, “nisipoenda ata tafuta mwanamke mwingine” alisema Soraya na hapo wote wakacheka kwa pamoja, lakini kicheko cha chini chini.******
Naam saa nne na nusu ndio muda ambao familia ya mzee Frank, yaani baba mama na mtoto walianza safari ya kuelekea mjini kule waliko alikwa, wakijigawa katika mafungu mawili, mama na baba walitumia baiskeri, huku mtoto wao ambae ni Higgno akitumia usafiri wa jumuiya, yaani daladala wakipanga wakakutane katikati ya mji, yaani eneo la soko kuu, ambapo ni umbali wa mita chache kufika kwa muarabu Mahamud.
Na wakiwa wanakaribia kukiacha kijiji ndipo walipokutana na gari la halmashauri likiwa lina kuja pale kijijini na lilipo waona tu likasimama na wao hawakuwa na budi kusimama, na walipotazama vizuri ndani wakamuona yule mama Nurse aliekabidhiwa jukumu la kumuhudumia mzee Komba kule Hospital, “dada mgonjwa wetu ndiyo tuna mpeleka hapo zahanati, atakuwepo pale mpaka atakapo onekana anaweza kwenda nyumbani” alisema mama Nurse, akionyesha furaha ya kufanikiwa lengo lao, “hooo! afadhari jamani maana hapa itasaidia kumuona kila mara, hata mama Hilda atapata nafasi ya kumuhudumia na kupumzika, huku mgonjwa akipata chakula kwa wakati” alisema mama Higgno, akionyesha furaha ya matumaini na hapo wakati huo wanazunguka upande wa nyuma wa gari kumtazama mgonjwa, ambae sio siri mpaka dakika hiyo tayari macho yalisha lowesha mashavu yake, “habari bwana Komba, unajisikiaje kwa sasa” aliuliza mzee Frank, ambae moyo wa imani na huruma ukimshika mara baada ya kumuona mzee Komba akitiririkwa na machozi, kwanza mzee Komba akatazama pembeni akishindwa kumtazama mzee Frank usoni, “naendelea vizuri, naomba ukitoka matembazi uje unione pale zahanati, kunajambo nataka tuongee bwana Frank, tafadhari….” aliongea mzee Komba kwa sauti fulani ya kuhuzunisha, akishindwa kumaliza sentesi kutokana na sauti kumezwa na kilio cha kwikwi, ni sauti ambayo ili muumiza kila mmoja na kumchoma moyoni, “usiwe na wasi wasi bwana Komba, hata kama nikirudi usiku nitakuja kukuona hospital, tena nitakuwa nakuja kukuona mara kwa mara” alisema bwana Frank, huku akijitabasamulisha kwa kujikaza kutoa sauti ya huzuni.
Naam baada ya kusalimiana wakaagana na safari zikaendelea, wakati dereva akikanyaga mafuta kueleka upande wa shuleni huku mzee Frank na mke wake walikuwa wanapanda baiskeri na kuanza safari ya kuelekea mjini bila wasi wasi wowote, kwasababu tayari zawadi zinge toka shambani kwa kijana wao.********
Naam saa tano na nusu ndio muda ambao, mzee Frank na mke wake walikutana na Higgno karibu na soko kuu la Songea, wakafunga mizigo yao kwenye baiskeri, yaani ile aliyokuwa nayo Higgno, na safari ya kueleka nyumbani kwa Mahamud ikaanza, huku shauku ya kujuwa walichoitiwa ikizidi kuwa tanda mioyoni mwao, kila mmoja akimkagua mwenzie jinsi alivyovaa na kurekebishana pale kwenye makosa ya uvaaji, na kabla hawaja fika mbali, wakaliona gari la bwana Mahamud likikatiza na kuingia kwenye geti la nyumba yake, ambayo kila walivyo isiogelea walianza kusikia milindimo laini ya music wa qaswida.
Naam wakati wakiwa wamebakiza mita kama mia moja hivi, ndipo Higgno alipoweza kumuona Talib akiingia kwenye geti lile lile la nyumba ya mzee Mahamud, hapo ndipo Higgno alipo kumbuka kuwa mtu huyu ambae alijitengenezea uadui dhidi yake ni mwenyeji wao kwa siku ya leo, lakini akajipa moyo kuwa kwa kuwa hakuwahi kumtendea uovu zaidi ya Talib kumtendea yeye, basi yeye ange kuwa salama, hivyo hakuwaeleza lolote wazazi wake, wakaendelea kulisogelea geti la nyumba ile ambayo kila hatua waliyopiga waligundua kuwa mule ndani kulikuwa na shamla shamla, sambamba na harufu ya vyakula vya sikukuu, nadhani mnavijuwa, hakuna haja ya kutoa mate, “kumbe kuna sikukuu ndio maana ametualika, ni vyema tulivyo beba jamanda” alisema mama Higgno nao wakamuunga mkono, hivyo ikawalazimu kufuata utaratibu wa kufungua mzigo toka kwenye baiskeri na kuuweka pamoja ili wamtwishe mama Higgno ambae alitakiwa aubebe na kwenda kupokelewa na mama mwenye nyumba hii.*******
Naam mama Soraya alikuwa amekaa sebuleni akiwatazama wapambaji waliokuwa wanaendelea na upambaji, upambaji ambao ulipeleka hisia za mama Soraya kuwaza jambo la ajabu sana, “ilipaswa iwe siku ya furaha, lakini inakuwa siku ya mtego” aliwaza mama Soraya, “kwanini watu hawa wanakosa uaminifu na kuiandama familia yangu?” alijiuliza kimoyo moyo, mama Soraya huku anamkumbuka yule kijana mpole, yaani Higgno alivyomuona mara ya mwisho kule kwenye miembe ya wakoloni akiwa ameshika panga na mtu amelala pembeni yake, ikionyesha kuwa alimpa kipigo kitakatifu, inawezekana kuwa ni jambazi kweli kama alivyosema Talib?” aliwaza mama Soraya, ambae kiukweli ni kama alikuwa ameshikwa na unyonge wa ghafla, “sijui mwanangu ana bahati mbaya gani, kukaa kote akijitunza halafu sasa anapata mwanume ambae ana mashaka kibao” aliwaza mama Soraya, na wakati huo huo, akamuona mume wake anaingia ndani akiwa na Jamal, “vipi Soraya amesha jiandaa naona mida inasogea?” aliuliza Mahamud baada ya kusalimia, “yupo ndani anajiandaa, toka amerudi mida ile hajatoka hata kidogo” alisema mama Soraya akijaribu kujichangamsha, lakini bado Mahamud aligundua utofauti kwa mke wake.
Wakati huo huo Talib ambae kiukweli aliliona gari la mjomba wake likiwa linaelekea nyumbani, na kushangaa vibaya sana, maana hakutegemea mjomba kurudi mapema kama vile, alivizia gari lipite kisha yeye akafuatia kwa tahadhari, na kuingia ndani akiwa na kijifuko chake cha bangi.
Naam alichokiona mule ndani kilimshangaza Talib, maana ni kama kulikuwa na kasherehe fulani, “kuna nini humu ndani mbona hivi?” aliuliza Talib, akiwa getini na mlinzi, “nasikia tu kuna ugeni unakuja ni mchumba wa Soraya, amealikwa chakula cha mchana” jibu la babu mlinzi lilimstua Talib, maana mwanaume ambae ametajwa sana ni Higgno, sasa je ni Higgno ambae amesha pewa uhalali wa kuwa mchumba wa Soraya, Talib hakujuwa kama Higgno mwenyewe tayari yupo mita chache toka pale nyumbani kwao, na sio peke yake, yupo na yule mzee ambae alimtishia siku ile na usiku wake akachoma duka lake moto, “acha uongo we babu, nani kakuambia?” aliuliza Talib kwa sauti ya mshangao, na kabla hajajibiwa akamuona subira anakuja mbio mbio mpaka pale kwa babu, “babu wakija wageni wazuie hapo nje kisha utuambie tuwaite baba na mama waje kuwa pokea” alisema Subira na kuondoka zake, akimuacha Talib ameshikwa na butwaha, “huyu anko nae boya kweli, yaani maneno yote niliyo waambia bado wanakubali hawa wanga waje hapa nyumbani, dah! hapa hapanifai hata kidogo, wacha nikajichimbie ndani nisubiri muda msosi” alijisema Talib, na kabla hata hajaondoka mara akasikia geti linagongwa, hivyo akatembea haraka haraka kueleka kwenye nyumba yake akimuacha mlinzi anafungua geti, “halafu huyu kum.., ameamua kuni lipizia kutembea na binamu yangu, kwasababu nilimpora yule Malaya wake mchafu, sasa atakiona cha mtema kuni” aliwaza Taribu, ambae hakufika mbali akaamua asimame ili kuwashuhudia waliogonga geti.
Naam geti lilifunguliwa na mlinzi baada ya kuwaona waliogonga akashusha pumzi, “hallow nyie mnataka nini kwenye majumba ya watu na mizigo yenu?” aliuliza mlinzi akijitahidi kutoa sauti ya vitisho, akionyesha kuwa anaamini wanafamilia hawa hawakustahili kuingia pale, ikichukulia hata uvaaji wao ulikuwa tofauti na wale wenyeji wa mule ndani, yaani magauni marefu ma shungi kwa akina mama, japo wanaume sio tofauti sana, wakati mama Higgno alitupia gauni lake la kitenge na kilemba cha kikongo, Itaendelea baadae acha tukaupokee mwenge wa uhuru hapo namiyonga,.....
 
Unaenda kupumbazika mkuu
 
Back
Top Bottom