Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 14,563
- 22,839
Abou Shaymaa Mida ndio hiii
Tumetulia wa zee IQit's Time .... Team Higgno Mpo !?
Naona muda unayoyomait's Time .... Team Higgno Mpo !?
Timu higgno muda si mrefu mtaenda kunyea debeit's Time .... Team Higgno Mpo !?
😂🤣😂🤣😅🤣Timu higgno muda si mrefu mtaenda kunyea debe
Sisi timu talibu tumesha wachongea jera inawahusuTimu higgno muda si mrefu mtaenda kunyea debe
debe hanyei mtu, tayari mzee Mahamoud amechimbwa biti na binti yake hapo atakuwa mpoleTimu higgno muda si mrefu mtaenda kunyea debe
Timu Twalib siku zenu zinahesabika msg zikifumwa kule kwenye simu mtasema yoteSisi timu talibu tumesha wachongea jera inawahusu
Talib huyuhuyu aliyekutwa anafuna kijiti. 😂😅🤣🤣😂😅😂Sisi timu talibu tumesha wachongea jera inawahusu
Higno ana gundu, sitashangaa kama atanyea debe kweli.Timu higgno muda si mrefu mtaenda kunyea debe
Anatafuna kijiti uku kafukiza udi😅😅ila talibu🙌🙌Talib huyuhuyu aliyekutwa anafuna kijiti. 😂😅🤣🤣😂😅😂
Higgy mpori mpori a k a kijana mpole🤣🤣Higno ana gundu, sitashangaa kama atanyea debe kweli.
Talib na Idd hawana mipango ya kueleweka.
Sema jamaa alijua kuwapoteza maboya😅🤣😅😂🤣😅🤣😅Anatafuna kijiti uku kafukiza udi😅😅ila talibu🙌🙌
gundu amelitoa wapi, kumbuka twali ana mpango wa kwenda kuiba siku hiyo mpango utafel na wenzake watadkwaHigno ana gundu, sitashangaa kama atanyea debe kweli.
Talib na Idd hawana mipango ya kueleweka.
Mpango wakwenda kula kuku na kununua gar daslamu utafeliiigundu amelitoa wapi, kumbuka twali ana mpango wa kwenda kuiba siku hiyo mpango utafel na wenzake watadkwa
Hahahah ni bangi zinampelekesha sio yeyeMpango wakwenda kula kuku na kununua gar daslamu utafeliii
Karibu uenjoy burudani mkuuHili picha naona linakimbia sio poa nkipata taimu ntalicheki.