Kwasasa Humu jf ziko hizo hizo ila hili TEMBELE LA UWANI nahc kama limekaribia kuisha so kuna kigongo kingne hicho nahc nitagombana na watu humu kwa arosto 😅😅Abou Shaymaa Mwamba upo vizuri kwenye uandishi na una reflect maisha halisi ya watu hongera sana nakupa maua yako, ukiachana na tembele la uwani, nyuma ya mlango wa adui na asali haitiwi kidole una simulizi gani zingine ambazo zipo humu nizitafute maana kwa hizi tu unaonyesha uwezo uliotukuka keep it up brother.
😅😅Weee imefika patamu, mama Soraya anaona misokoto ya bangi, Higno sasa ataalikwa mjengoni mara anakuja kugundua mshenga wake ndio baba mzaa chema wake
Kishushe tu arosto tutazivumilia🤣🤣Kwasasa Humu jf ziko hizo hizo ila hili TEMBELE LA UWANI nahc kama limekaribia kuisha so kuna kigongo kingne hicho nahc nitagombana na watu humu kwa arosto 😅😅
All the best tutakuwa pamoja inshaaallahKwasasa Humu jf ziko hizo hizo ila hili TEMBELE LA UWANI nahc kama limekaribia kuisha so kuna kigongo kingne hicho nahc nitagombana na watu humu kwa arosto 😅😅
Naandaa kabisa bajeti ya mchango ili japo niwe narusharusha mara kwa mara huku niki onjoy simulizi zako:Kwasasa Humu jf ziko hizo hizo ila hili TEMBELE LA UWANI nahc kama limekaribia kuisha so kuna kigongo kingne hicho nahc nitagombana na watu humu kwa arosto 😅😅
PamojaAbou asante kwa kunikumbuka rafiki
Kwasasa Humu jf ziko hizo hizo ila hili TEMBELE LA UWANI nahc kama limekaribia kuisha so kuna kigongo kingne hicho nahc nitagombana na watu humu kwa arosto
Upo njema MkuuPamoja
Talibu muuza dagaa nyasa🤣🤣Twalib anakula weed
Bado mkuukumbe bado haijaendelea??
Alisema inaendelea saa ngapi kwani??Bado mkuu
Mida yetu hii sio?Alisema inaendelea saa ngapi kwani??
Yeah, ndio mida hii mtaalamMida yetu hii sio?
ndio yenyewe hii mzee BabaMida yetu hii sio?