TEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA HAMSINI NA MBILI
MTUNZI
Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA : “kama pata kupendeza utalala hapa” alisema Higno huku akionyesha kitanda cha futi tatu kwa sita, hapo akamuona Soraya anatazama tena pale chini, ambapo Higgno alitandika kwaajili yake, “samahani sehemu ya kulala ni hii moja tu! hakuna chumba kingine” alisema Higno kwa sauti ya upole iliyo ambatana na nidhamu kwa mgeni wake, “kwani hata kingekuwepo nisinge lala peke yangu, naogopa” alisema Soraya kwa sauti ya kujidekeza, “basi usiwe na wasi wasi, nitakuwa hapa chini hakuna kitachokufikia bila kuanza kunifikia mimi” alisema Higgno huku anajichekesha kidogo na kuendelea kuweka sawa zile nguo pale chini, “hapana bwana tulale pamoja, mbona kitanda ni kikubwa sana” alisema Soraya huku ana panda kitandani na kuushika mkono wa Higgno na kumvuta kijana huyu apande kitandan……… ENDELEA….
Hakika ungesema ameshikwa na jitu lenye nguvu sana, japo alikuwa ameshikwa na mkono laini wa kike lakini Higgno alivutika na kupanda kitandani, huku Soraya akisogea upande wa ukutani akimuacha Higgno aambulie harufu nzuri ya marashi, “si hapa pakubwa tu tunatosha wote” alisema Soraya huku anajilaza chali upande wa ukutani na huku tabasamu lililo ambatana na kicheko cha aibu kikimtoka mdomoni mwake, “sawa lakini ukiona ninakubana utaniambia ili nikupishe” alisema Higgno huku na yeye akijicheksha kidogo.
Hapo ukapita ukimya, ni kama kila mmoja alikuwa ana tafakari jambo kichwani mwake, zilisikika pumzi za kila mmoja, wakati Higgno akiwa anajiuliza juu ya kile kinacho mtokea usiku wa leo, kitendo cha kuwa karibu na mschana ambae hajawahi kufikiria kugusa hata kiganja cha mkono wake, eti sasa yupo nae juu ya kitanda chake dhaifu, Soraya pia licha kufurahi kuwa karibu na mtu ambae amekuwa akiota kwa miaka mingi, pia Soraya alikuwa anawaza jambo fulani juu ya jinsi mambo yanavyoenda, “mh! mtu mwenyewe mbona haniambii kama anataka niwe mchumba wake” aliwaza Soraya, ambae kama kawaida yake yeye ndie alieuvunja ukimya, “Higgno asante sana kwa jinsi unavyo nijali na kunisaidia, leo nimekuja kusema asante” alisema Soraya kwa sauti fulani nyororo na ya taratibu, Higgno akajichekesha kidogo, nashukuru sana kama msaada wangu ulikuwa muhimu kwako” alijibu Higgno kwa sauti yake ya upole “uilikuwa msaada mkubwa sana katika maisha yangu, kiasi cha kukuona kama mtu muhimu sana kwangu, ndio maana sina hata wasi wasi nikiwa hapa kwako usiku kama huu” alisema Soraya na hapo wote wakatulia kidogo, “Higgno umenisaidia mara tatu, kwanini hukuwahi kunitafuta hata mara moja” aliuliza Soraya huku akijigeuza upande Higgno nakuwa amelala kiubavu ubavu, “kwa mfano ningekuambia nini baada ya kukupata?” aliuliza Higgno huku akicheka kidogo, “kwani hujui kama mimi nilikuwa sijui unakaa wapi?” aliuliza Soraya huku akimtazama Higgno, “kwa hiyo ungejuwa ninapokaa ungekuja nyumbani?” aliuliza Higgno, huku akigeuza uso wake na kutazama upande aliolala Soraya na kusababisha nyuso zao ziwe karibu kabisa, kilicho wasaidia ni giza lililopo mule ndani, vinginevyo kwa ukaribu ule wangeshindwa kutazamana hata kwa sekunde moja, “ndiyo ningekuja kwani na wewe hupajuwi nyumbani kwetu?” aliuliza Soraya akitaka kujua kama ni kweli kijana mpole alikuwa hajui kuwa yeye ni mtoto wa Mahamud, “mh! sipajuwi lakini hata ningepajua sidhani kama ningekuja, maana nisinge kuwa na cha kufanya” alisema Higgno huku anatazama juu, “si,ungekuja kuniambia kuwa wewe ndio ulienisaidia ili nikupe zawadi yangu” alisema Soraya, kwa namna ya kukosoa, “sikukusaidia kwasababu ya kuhitaji zawadi” alisema Higgno akijichekesha, “mh! kwa hiyo ulijisikia tu kunisaidia?” aliuliza Soraya, huku moyni mwake akiwa anajiskia kitu kama maumivu fulani, maana yeye tegemeo lake ni kwamba, Higgno angekuwa anahitaji kitu toka kwake, nacho ni penzi, maana yeye alishampenda kijana huyu toka zamani, “japo ni tabia yangu kutopenda kuona mtu akionewa, lakini ukweli pia sikupenda kuona mschana mzuri ukitendewa uovu, tena na vijana wanne” alisema Higgno, na hapo Soraya aliachia tabasamu pana lililofichwa na giza, Higgno akiambulia kicheko cha chini chini, “kwahiyo Higgno unanipenda eeh?, si umesema mimi mzuri” aliuliza Soraya, huku akiendelea kutawaliwa na tabasamu, “sijawahi kuchukia mtu hata wale walionikosea niliwasamehe lakini wewe….” hapo Higgno alikosa cha kuendelea kusema, akamtazama Soraya akamuona anamsikiliza kwa umakini, wote wakatabasamuliana, “lakini mimi nini mbona husemi, au hunipendi?” aliuliza Soraya kama vile analalamika, lakini alikuwa anacheka cheka, na Higgno akackeka kidogo, “sidhani kama naweza kusema ninakupenda, kwasababu ni tofauti kabisa” alisema Higgno akionekana kusita sita, “Higgno, bwana mbona husemi, niambie basi tofauti ya nini?” alisema Soraya kwa sauti ya kulalamika na ya kudeka huku anampiga Higgno kijingumi kidogo kifuani kwake, akionyesha kuhitaji kusikia anachosema Higgno, “yah ni tofauti, maana japo sikujisikia kuwa na mpenzi lakini nilipo kukumbuka nilijikuta natamani kuwa na mpenzi mwenye sura na umbo kama lako” alisema Higgno japo kwa kuzunguka sana na kumfanya Soraya atabasamu kwa furaha, lakini akazuga, “kwahiyo unampenda mschana anae fanana na mimi, lakini mimi hunipendi?” aliuliza Soraya akijifanya kuzila kwa kukasirika na kugeukia upande wa ukutani na kufanya makalio yake laini yaguse paja la Higgno, wote wakajikuta wanasisimka na kila mmoja akajaribu kujisogeza upande wake, ili asimguse mwenzie, “hapana ila ila…” alisema Higgno na kukosa cha kusema, maana kama angeongeza neno ni sawa na kutongoza, na kitu ambacho mpaka sasa Higgno alikuwa anaamini ni kuwa hakuwa na hadhi ya kuwa na mschana kama huyu, “ila nini sasa, si useme tu! kwani unamuogopa nani?” aliuliza Soraya huku akiwa bado amegeuka upande ule ule wa ukutani, “nakupenda lakini sikuweza kukusogelea kwasababu..” alisema Higgno na kabla hajamalizia kuongea Soraya akageuka kwa haraka na kulala kama alivyolala mwanzo, yaani kiubavu ubavu lakini aligeukia upande wa Higgno, “kweli unanipenda, kwahiyo nikikukubalia utafanyaje?” aliuliza Soraya huku akijiinua kidogo akibakia amelalia ubavu, lakini amekiegemeza kichwa chake kwenye mkono wake kwa kulaza shavu kwenye kiganja chake alicho simika kiwiko kitandani, macho yame tazama kwa Higgno, akiweza kufanya hivyo kwa msaada wa giza, “nitakupenda sana, nitahakikisha hakuna mtu anakukosesha amani wala kukuumiza kwa lolote, nita kupa amani na furaha, lakini nitashindwa kukupa fedha nyingi na vitu vya gharama” alisema Higgno kwa sauti iliyopoa, “achana na vitu vya gharama, halafu baada ya hapo?” aliuliza tena Soraya ni kama swali la mtego fulani akihitaji kusikia jambo fulani, “nita tafuta kazi nzuri, halafu nitajenga nyumba, kisha nitawaambia baba na mama tuje nyumbani kwenu kuleta barua” alisema Higgno, hapo Soraya akatabasamu kidogo na kuwa kama amekumbuka jambo, “halafu wenzio kule Luhila kuna mzee mmoja na mfahamu unaweza kumtumia kama mshenga” alisema Soraya huku akijilaza kitandani hapo Higgno akashangaa kidogo, “kwani ……. kwani..” na kabla hajauliza swali lake, Soraya akamdaka, “nimesha kubali, si umesema unanipenda, kuanzia sasa mimi ni mchumba wako, lakini nataka uwe na mimi tu” alisema Soraya huku akicheka cheka kwa aibu.
Japo Soraya aliongea neno lile kirahisi sana, lakini liliusisimua moyo wa Higgno kiasi kwamba Higgno alijihisi kuwa anaota, “kwa hiyo wewe ni…” aliuliza Higgno kwa sauti ya mshangao na ya kutetemeka, lakini kabla hata hajamaliza, Soraya akadakia, “ndiyo kwani we hupendi niwe mchumba wako” aliuliza Soraya huku anacheka cheka kicheko cha aibu, huku akigeuzia uso wake ukutani, Higgno akatulia kidogo, mpaka alipomuona Soraya ana jigeuza na kulala chali, muda wote hawakuwahi kujifunika shuka, japo kijiubaridi cha milima ya matogoro kilikuwa kina wapuliza, “kwani we Soraya hauna mchumba?” aliuliza Higgno kwa sauti ya upole, “si wewe hapo, huoni nimekuja kulala kwako” alijibu Soraya huku akicheka cheka tena, ukweli ungesikia kicheko hicho ungependa aendelee kucheka.
Naam usiku ule ulikuwa ni usiku mzito sana kwa Higgno na Soraya, walikesha macho juu ya kitanda kile kidogo, wakiongea hili na lile kwa furaha na upendo mkubwa, huku Soraya akitumia muda huo kumsimulia Higgno jinsi alivyo nusurika kubakwa siku ile aliyo leweshwa na yeye kumsaidia, wakati wa simulizi wawili hawa walionekana kuzidi kuzoeana na kuacha kuogopana, maana sasa hata miili yao ilipogusana hakuna aliejiangaisha kujisogeza pembeni, japo bado walikuwa wanajisikia hali tofauti kila wanapo gusana, wakati soraya akihisi msisiko ambao ulikuwa unampelekea kutamani kuguswa kitumbua chake, huku Higgno akiona wazi jinsi dudu inavyo tutumka, hakuna aliejaribu kumchokoza mwenzie ili wapeane dudu, wakati Soraya akitegemea kitendo hicho kianzishwe na Higgno, yeye alichelea kuonekana mapepe, na pia alihofia kitendo kile kwasababu hakuwahi kukifanya katika maisha yake, huku akijuwa ni kosa kwa utaratibu wa dini yao, lakini aliombea Higgno achokoze ili wajaribu kwa mara ya kwanza, na huku Higgno akichelea kuonekana ni mwenye haraka ya kitumbua na kwamba ange mchukiza yule mschana na kumpoteza ndani ya usiku ule.
Wa kwanza kulala alikuwa ni Soraya, ambae alipitiwa na usingizi na kumuacha Higgno akiwa macho ana waza na kutafakari kuhusu Soraya mschana mrembo alielala pembeni yake, “mh! yaani siamini macho yangu, naona kama naota vile, mschana mzuri kama huyu anifuate yeye mwenyewe?” aliwaza Higgno huku mara kwa mara anatupia macho yake kwa Soraya ambae alikuwa amesha pitiwa na usingizi.
Ni kama usingizi ulikata kwa Higgno, ambae alikuwa macho kama mlinzi wa mfalme wa nchi ya kifalme ya mbogo_land hata kuna wakati aliona Soraya akipapasa papasa kutafuta shuka na yeye akamsaidia kumfunika, lakini haukuwa mwisho wa kushuhudia mambo mengine ya kufurahisha yaliyo mpendeza Higgno, maana kuna wakati alimuona Soraya akijigeuza na kulala kiupande upande huku anapandisha paja lake juu ya paja la Higgno sambamba na mkono mmoja, alioulaza kifuani kwake, na muda mchache baadae Soraya akaegemeza kichwa chake kifuani kwa kijana huyu, huku nywele ndefu za mschana huyu zikisambaa na kujaa eneo lote la kifuani mpaka usoni kwa kijana huyu mpole, ambae alikuwa katika wakati mgumu sana, maana dudu ilizidi kututumka na kubakia akimtazama mschana huyu ambae amezoea kulala kwenye kitanda kikubwa cha futi sita kwa tano akishindwa kumtoa juu yake.*****
Mzee Frank hakuweza kulala vizuri usiku ule, aliona masaa yana chelewa alitamani kukuche haraka ili awahi shamba kwenda kumtazama kijana wake ambae aliamini anaweza kumkosa endapo jana alipata kazi, maana anaweza kujidamkia huko kazini, mzee huyu alipitiwa na usingizi saa tisa za usiku, yaani karibu na alfajiri, na alikuja kushtuka saa kumi na mbili na nusu za asubuhi, mzee Frank aliamka haraka toka kitandani, alijiandaa huku akiona kama vile amechelewa.
Saa moja kasoro dakika tano, ndio muda ambao Mzee Frank aliondoka nyumbani kwake akipitia upande wa matogoro, kwa lengo la kwamba kama Higgno alipata kazi basi lazima angepitia barabara hiyo kwenda kazini, hivyo lazima angekutana nae njiani, mzee Frank njia nzima alikuwa anawaza juu ya kijana wake wa pekee, akiwa na hofu kubwa ya usalama wake.
Mzee Frank akiwa anaikamata barabara ya matogoro inayotokea mjini akiibukia maneo ya makutano, aliendelea kukanyaga pederi za baiskeri yake mpya huku mara kwa mara akijitahidi kutazama magari yaliyokuwa yanapita kutokea matogoro hasa yale ya abiria., yaani dala dala pengine ange muona kijana wake asije kupishana nae, ndipo alipoliona gari moja la kijani likimpita toka nyuma yake likiwa katika mwendo wa kasi sana.
Sio kwamba ni gari pekee lililompita, hapana ni gari ambalo alilitambua mara moja, kuwa ni gari la yule mschana mdogo wa kiarabu, aliemnunulia baiskeri mpya baada ya kumsababishia ajari kule bombambili, ambae alitamani kumsimulia yaliyomsibu usiku wa siku ile, sio kwamba alitarajia msaada toka kwa mschana yule ambae amekuwa kama rafiki wa familia, lakini pia aliona kama angekuwa amepunguza maumivu kwa kumsimulia mkasa wake mtu ambae ana upendop wa kibinadamu, lakini hakupata nafasi hiyo, maana gari lile lilimpita katika mwendo wa kasi sana.******
Soraya, alishtushwa na sauti nzuri za ndege wadogo zilizo penya masikioni mwa mschana huyu, ambae japo alikuwa bado amefumba macho yake, lakini alijihisi kuwa amelala juu ya mgeni wake, huku akihisi kuna kitu kigumu kama kipande cha ndizi mbichi kikiwa kina mgusa kwenye kinena chake, hakujuwa amepanda saa ngapi juu ya mwenzie ambae alionekana yupo macho, kwasababu alikuwa anajitahidi kumfunika shuka hasa sehemu za chini yaani kuanzia kiunoni kushuka chini ambazo zilionekana kuwa wazi, maana alikuwa anajihisi kaubaridi fulani, Soraya alifumbua macho taratibu na kukutana na macho ya Higgno, aliekuwa anamtazama huku tabasamu lime tawala usoni kwake, na yeye akajikuta anatabasamu na kwa msaada wa mwanga wa jua uliopitia dirishani kila mmoja aliweza kumuona vizuri mwenzie, Soraya akatazama pembeni kwa aibu.
“Assalam alaykum” ilikuwa ni sauti nyororo ya Soraya iliyoambatana na aibu fulani, “waalaykum salaam” aliitikia Higgno kwa sauti nzito ya upole, huku wote wakicheka, kicheko cha uvivu, huku Soraya akijikuta nusu ya mwili wake ukiwa juu ya mwili wa Higgno, “pole nimekulalia” alisema Soraya kwa sauti ile ile nyororo iliyojawa na aibu sambamba na kicheko laini, huku anajiinua kidogo na kupeleka mkono akiupenyeza katikati yao kuondoa kitu kigumu kilicho kuwa kina mgusa, na alipofanikiwa kugusa kitu hicho akajikuta anautoa mkono wake haraka na kujiziba uso, “haaa! pole sikujuwa” alisema Soraya kwa sauti ya aibu, huku anauficha uso wake kifuani kwa Higgno, ambae alicheka cheka tu! akishindwa aseme nini, na wakati huo huo wote wakasikia ngurumo ya gari, wakatega sikio kusikiliza lakini ngurmo hiyo haikudumu sana ikapotea ghafla.
Hapo Soraya akiwa bado amejiziba uso akauliza, “kwani ipo hivyo toka saangapi?” swali lilimfanya Higgno acheke kidogo, “toka usiku” alijibu Higgno na hapo ni kama Soraya alishtuka kidogo, “haiumi?’ aliuliza Soraya safari hii akiondoa mikono usoni na kuinua uso wake kumtazama Higgno, lakini alishindwa baada ya macho yao kukutana, “wala haiumi mbona kawaida tu” alijibu Higgno kwa sauti ile ile nzito ya upole, “halafu inaonekana kubwa hiyooo” alisema Soraya huku akiachia kicheko cha aibu na kuziba tena uso wake, Higgno akajuwa kuwa mchumba ameshaanza kuogopa, “hapana ni kawaida tu” alijibu Higgno kumtoa wasi wasi Soraya, “mhhh! mbona inaonekana kubwa, basi hebu niguse” alisema Soraya huku anajiinua kidogo na kurudisha tena mkono kule aliko utoa mwanzo, maana bado alikuwa amejilaza juu ya kijana mpole, na nywele zake ndefu nyeusi zikisambaa eneo lote la kifua, hakujali gauni lililopanda juu na kubakiza sehemu kubwa ya ikiwa wazi hadi sehemu ya makalio na kufanya ile chupi aliyonunuliwa na Higgno kama zawadi ionekane.
Soraya alipeleka mkono na kugusa tena dudu ya Higgno na akaulaza mkono juu yake, dudu ilikuwa ndani ya bukta, sura ameilaza kifuani kwa Higgno, wote wakipatwa na misisimko ya ajabu, mana hali hii hawakuwahi kukutana nayo, “na wewe nishike kama unataka, lakini juu juu” ilikuwa kauli ya Soraya iliyotoka kwa sauti nyororo iliyomezwa na ukavu wa koo, kweli Higgno hakujivunga, akapeleka mikono yake kiunoni kwa Soraya na kuanza kumpapasa kuanzia eneo hilo na kushuka chini, huku Soraya akisikilizia mkono hiyo ya kazi ambayo ni kama ilikuwa inamtekenya na kumfanya anze kuhisi kuwa mkojo unambana, “Higgno umeiona chupi niliyovaa ni ile ulivyoniletea zawadi” alisema Soraya, na Higgno hakujibu zaidi ya kucheka, “funua gauni uone ilivyo nipendeza” alisema Soraya huku akijichekesha, hapo Higgno akaona kuwa anazidi kupewa nafasi za kipekee ambazo hakuwahi kuziota kuzipata kwa mschana mzuri kama huyu, Higgno hakusubiri aambiwe tena, akalikamata gauni la Soraya na kulipandisha taratibu mpaka usawa wa mgongoni, sasa eneo lote chini lilikuwa wazi Higgno akaweza kuona wazi sehemu hiyo adimu ambayo haikuwahi kuonwa wala kugusa na mwanaume hata mmoja katika hali kama hii, labda mschana huyu alipokuwa mtoto mchanga, “umeona eeh?” aliuliza Soraya akicheka kivivu kicheko kilichojaa aibu, Higgno akaitikia kwa kichwa, “mimi naomba niguse kabisa” alisema Soraya kwa sauti ya kunong’ona bila kuinua uso wake huku anapekenyua kaptura ya Higgno na kuingiza mkono ndani ya kaptura hiyo ambapo alikutana na boxer, akaipenyuwa tena na kuzamisha mkono ndani ya boxer ambapo alikutana na dudu ambayo licha ya kututumka na kuwa ngumu pia lilikuwa na joto.
Hakika msisimko uliomapata Soraya ulisababisha ashushe pumzi nzito, “ya moto kama una maralia” aninong’ona Soraya kwa sauti iliyotetemeka kwa msisimko, na kwa Higgno pia ilikuwa hivyo hivyo, ambae alijikuta akiminya makalio ya Soraya, ambae alijiskia raha zaidi na kujikuta akitamani kufanya kitu zaidi ya kile walicho kuwa wanakifanya
Wote wakijihisi mikojo imebana na kuwatekenya sehemu zao za siri, kila kiungo cha uzazi cha kila mmoja wao kikitamani kupewa haki yake, .“Higgno tujaribu kufanya” alinong’ona Soraya kwa sauti iliyozidiwa na pumzi ambazo sasa ni kama zilikuwa zina mtoka juu juu huku anaivuta dudu kuitoa ndani ya kapturah, “hoo! samahani jamani kumbe bado mumelala” wote walishtushwa na sauti ya kike…….. ITAENDELEA ASUBUHI