Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 14,373
- 18,173
Msimuliaji amejitahidi sana kutuletea stori mfululizo:
Sijui leo ataongeza au tusubiri hadi kesho:

Amesema analeta ni kuendelea kusubiriMsimuliaji amejitahidi sana kutuletea stori mfululizo:
Sijui leo ataongeza au tusubiri hadi kesho:
Kwa leo sidhani:Amesema analeta ni kuendelea kusubiri
Kumbe tuwe wapole tuAmesema analeta ni kuendelea kusubiri
Sizani kama Leo itakwepo kwahuu ukimyaMsimuliaji amejitahidi sana kutuletea stori mfululizo:
Sijui leo ataongeza au tusubiri hadi kesho:
Nishaleta tyrSizani kama Leo itakwepo kwahuu ukimya
TyrMsimuliaji amejitahidi sana kutuletea stori mfululizo:
Sijui leo ataongeza au tusubiri hadi kesho:
🤣Basi utashangaa huyu mpori pori akashindwa kula hiyo mali 🚮
Haaa,hii si Sawa bhanaTEMBELE LA UWANI
SEHEMU YA HAMSINI NA MOJA
MTUNZI Mbogo EDGAR
ILIPO ISHIA SEHEMU YA HAMSINI : Tayari muda ulikuwa umeshaenda sana, kila mmoja alitamani kulala lakini hakuna alieweza kumueleza mwenzie kuwa anaenda kulala, lakini baada ya kuvizia sana ndipo Soraya uvumulivu ukamshinda, “Higgno muda umeenda twende tukalale” alisema Soraya kwa sauti fulani ya kijidekeza akimalizia na muhayo mfupi wa usingizi……… ENDELEA….
Huku anainuka na kusimama kisha akainuwa mikono yake kama anajinyoosha, Higgno akainuwa uso wake kumtazama mschana huyu mrembo ambae alikuwa anamaliza kujinyoosha na kumtazama yeye usoni, wakatazamana Soraya akacheka kidogo huku Higgno akitabasamu, yaani lile tabasamu la mshangao, “samahani Soraya, sidhani kama utaweza kulala humu ndani kwasababu……” alisema Higgno kwa sauti ya upole ya kutahadharisha “kwasababu nini bwana ipua hao samaki tukalale” alisema Soraya kwa sauti ya kulalamika, “hapo ndipo Higgnoe akaanza kupata picha ya kwamba kile anacho kiona ndicho ambacho kinatokea, ya kwamba Soraya amekuja kulala pale nyumbani kwake, napengine amevutiwa na yeye na kuamua kuwa rafiki yake, “haya basi ngoja nipunguze moto halafu nikaweke vizuri kitanda” alisema Higgno, ambae licha ya kuwa alishafanya usafi wa kina ndani ya kibanda kile siku chache zilizopita, ikiwa ni maandalizi ya ujio wa yule mschana ambae angekuwa mchumba wake, yaani yule ambae walibaini kuwa ni mlevi, na muhuni, lakini bado hakuwa na inamani kama Soraya angeweza kulala ndani ya kibanda kama kile.********
Ukweli mke wa bwana Frank, alilia sana usiku ule, kwasababu kuunguliwa kwa duka ilikuwa ni pigo kubwa sana kwao, maana duka lile lilikuwa ni moja kati ya vitega uchumi vilivyo waingizia fedha nyingi sana na kuwaletea heshima pale mtaani, kingine kilichomliza mama Higgno ni furaha ambayo wataliipata watu wasio watakia mema ikiwepo familia ya bwana Komba, “lazima watu wamelitazama hili duka kwa jicho baya” alisema mama Higgno akiwa bado anaendelea kulia, “mke wangu usiingize imani nyingine, ni yule kijana aliekuja mchana ndie aliefanya hivi na ana ugomvi na Higgno” alisema mzee Frank, huku anamshika mkono mke wake na kuingia nae ndani huku akiacha wana kijiji wakiendelea kuushangaa moto walio shindwa kuuzima, “hapana baba Higgy, Higgno hawezi kuwa na ugomvi na mtu, lazima kuna watu wameturoga” alisema mama Higgno, hakuwa anamaanisha anacho kisema, “aminii hivyo mke wangu, na hapa wasi wasi wangu ni juu ya Higgno mwenyewe, kama atakuwa salama” alisema mzee Frank, anae alionekana kuwa na wasi wasi wa wazi kabisa, hapo hata mama Higgno akasitisha kilio chake na kumtazama mume wake, “kweli mume wangu, tena hakuja hata hapa nyumbani, lazima kuna tatizo” alisema mama Higgno kwa sauti ya ung’amuzi, “kuna umuhimu wa kwenda kumtazama Higno kule shambani” alisema mzee Frank, huku wanaingia chumbani kwao, “lakini mume wangu usiende usiku huu, bora usubiri kupambazuke ndipo uende, maana huwezi kujuwa huko njiani utakutana na nini” alishauri mama Higgno, na hapo kishingo upande mzee Frank akakubali na kupanda kitandani akifuatiwa na mke wake japo hawakupata usingizi, wakabakia pale kitandani huku wana jadili hili na lile juu ya kilichotokea.
Wakati wao wanawaza hivyo, upande wa pili mze Komba na mke wake walikuwa wamesha amini kuwa kuungua kwa duka la bwana Frank kuna tokana na kazi ya babu mabudi, “yaani kesho mapema sana, Hilda awahi Linjumbwi” alisema mzee Komba akiwa chumbani kwake na mke wake, “nimesha muambia kulekule kwenye moto” alisema mama Hilda kwa sauti iliyochangamka sana, huku moyoni mwake akitamani angeenda yeye mwenyewe, “sema hii michubuko huku kwa bibi bado hauja poa”alijiwazia mama Hilda ambae siku moja tu toka akutane kwa mara ya mwisho na Mabudi, tayari alishaanza kutamani kuonana nae, “basi haina shida cha msingi atoke mapema sana” alisema mzee Komba, ambae alionekana kuwa na furaha ya wazi, “tena mueleze akamuambie kuwa safari ijayo iungue nyumba yao” alisisitiza mzee Komba, pasipo kujuwa kuwa chanzo cha mto uliochoma duka la mzee Frank ni bangi na pombe za Talib alieshirikiana na mwanae Hilda.
Ukweli Hilda alikubali kwenda kwa babu Mabudi kutokana na sababu mbili ambazo yeye aliziona ni muhimu, ya kwanza ni kwamba ilimbidi ajifaye hajui kitu chochote kuhusu ule moto uliochoma duka la mzee Frank, pili kuna kitu alikitamani toka kwa mzee Mabudi, nikile walicho kifanya kwa dakika kumi, nacho ni dudu ya babu Mabudi, “sijui alinipaka nini mpaka kika ni nyegesha vile, aliwaza Hidla hata alivyo kuwa kitandani anasaka usingizi.********
Akiwa hajui kilicho tokea huko nyumbani kwao Luhila, Higgno aliingia kibandani kwake huku ana jiuliza maswali magumu ambayo yalikosa majibu, “mh! nikweli huyu dada analala hapa au ana nitania?” aliwaza Higgno huku anatandika chini, pembeni ya kitanda ambacho kilikuwa kimetandikwa vizuri kabisa na kutundikwa net nzuri, “mh! au naota?” alijiuliza tena Higgno, akiamini kuwa Soraya yupo nje kama alivyo muacha wakati anaingia ndani kuandaa sehemu za kulalia ambazo aliamua kuzitenganisha, kwamba mgeni wake alale kitandani na yeye alale pale chini, hakufikiria kuhusu mbu au hatari ya vijidudu vinavyo tambaa, “mbona unachelewa sana?” ilikuwa ni sauti tulivu iliyosikika toka nyuma ya Higgno, ambae aligeuka na kumtazama Soraya ambae alikuwa mita chache toka nyuma yake, “haa!... mhhh!... nilikuwa na andaa sehemu ya kulala” alisema Higgno kwa suti ya upole, safari hii ikiwa ya kubabaika kidogo, huku anaonyesha kitanda na pale chini alipotandika, Soraya akatazama pale chini, na japo hakukuwa na mwanga wa kutosha zaidi ya ule wa mbala mwezi uliongia kupitia dirisha na mlango, Soraya akaweza kuona kuwa Higgno alikuwa ameweka nguo mbili tatu pale chini, akashanga kidogo huku ana angalia kitanda, “sasa hapa analala nani na hapa nani?” aliuliza Soraya kwa sauti ya mshangao, “kama pata kupendeza utalala hapa” alisema Higno huku akionyesha kitanda cha futi tatu kwa sita, hapo akamuona Soraya anatazama tena pale chini, ambapo Higgno alitandika kwaajili yake, “samahani sehemu ya kulala ni hii moja tu! hakuna chumba kingine” alisema Higno kwa sauti ya upole iliyo ambatana na nidhamu kwa mgeni wake, “kwani hata kingekuwepo nisinge lala peke yangu, naogopa” alisema Soraya kwa sauti ya kujidekeza, “basi usiwe na wasi wasi nitakuwa hapa chini, hakuna kitacho kufikia bila kuanza kunifikia mimi” alisema Higgno huku ana jichekesa kidogo na kuendelea kuweka sawa zile nguo pale chini, “hapana bwana tulale pamoja, mbona kitanda ni kikubwa sana” alisema Soraya huku ana panda kitandani, na kuushika mkono wa Higgno na kumvuta kijana huyu apande kitandani………… ITAENDELEA MUWE NA USIKU MWEMA...
nipo machoMusilale kuna bonus baada ya dakik 7 naileta
Shukrani sana mkuu.TEMBELE LA UWANI