bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,095
SIMULIZI; TAMAA ILINIPELEKA KISIWA CHA MAJINI
SEHEMU YA KWANZA
Jina langu naitwa Jackson Abell ni mzaliwa wa
tanga shughuli zangu ni biashara kawaida huwa na
chukua mzigo Zanzibar kwa bei nafuu na kuja kuuza
Tanzania bara biashara hii nimefanya kwa muda
mrefu kwani ni biashara inayonifanya niendeshe
maisha yangu ya kila siku, sitasahau mwaka 2017
mwezi wa 6 tarehe 10 SAA sita usiku nilipopigiwa
simu na rafiki yangu Abdulazaki kuwa kuna contena
lililokosa mmiliki kwani tunatakiwa tuka badili
documents na lile contena tulimiliki sisi( hii ni tabia
ya wafanyabiashara wengi sana ya kugeuza
documents ya mzigo Fulani eiza mmiliki wake
akiwa amekufa au hana uelewa ndio maana
unaweza kuta watu Fulani wakilalamika macontena
yao kupotea na utajiuliza inakuwaje) basi taarifu
hiyo ilinifanya moyo uripuke kwa furaha kwani
niliona utajiri unanivamia kwa kasi ya ajabu
"Nakuja sasa ivi" nilisema kwa kuongozwa na hisia
kuwa nikichelewa basi naweza pishana na gari la
mshahara hivi hivi.
"Babu utapanda ungo au? Aliuliza Abdul
" wewe niache nakuja sasa ivi tuweke mipango
sawa ilikesho asubuhi tujue tutafanyaje Mimi apa
usingizi usha nitoka"
"OK sawa Mzee na kusubili" alinijibu Abdul
Haraka haraka nikajiandaa nika chukua ufunguo
wagari fasta nikaondoka kuelekea zangu bandarini
dakika chache nilikuwa nishafika ila nilishangaa
kuona watu wengi wakiendelea na shughuli zao basi
nikafanya utaratibu wote nikajiandaa kuingia ndani
ya boti kuwahi kwenye dili, niliona boti mpya nzuri
japo kuwa ilikuwa usiku lakini ilionekana vizuri kwa
uzuri wake nikaona sio mbaya nikizama ndani ya ile
boti KWANZA nilijisikia furaha kupanda boti mpya
kabisa kwani tusha zoea kupanda boti ambazo
wanatumia kwanza wazungu alafu wanatuletea,
niliingia ndani nikaa kwenye siti nikaanza kukagua
mlendani
"Ee babu kubwa " nilijisemea mwenyewe baada ya
kuona mlendani mnavo vutia, boti ikaanza kuondoka
taratibu kuelekea Zanzibar sasa kila nikitupa macho
mlendani niliona abiria karibu wote wanaasili ya
kiarabu