Simulizi: Scaila Michael

Naomba kuuliza, Mrisho mpoto aliwahi kuimba tabia ya mtu ni kama ngozi ya mwili hauwezi kuibadili, Mbona hapo mzee baba kafanikiwa kumdalisha tabia huyo mwanadada, so ukweli ni upi hapo unaweza kubadili tabia ya mtu?
 
Inawezekana mkuu
 
Twende kazi sasa "...shubiri kimejiuza...".
 
Safi sana, hakika story ina messages nzuri sana.

Asante sana Nyemo, kwa utunzi mahiri. Na vilevile asante sana Shunie, kwa kupoteza muda wako na kushare nasi hii story. MBARIKIWE SANA SANA
 
Duuh
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…