bioto
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 1,261
- 2,099
- Thread starter
- #21
ILIPOISHIA...
Tina hakujua kabisa kuwa mimi nilikuwa ni mfuasi
wa shetani laiti angenigundua basi asingedhubutu
kujenga ukaribu na mimi, Sikutaka mtu hata mmoja
ajue siri zangu hivyo nilipanga kumuua mtu yoyote
ambaye atagundua siri zangu. Wahenga huwaga
wanasema ukizoeana sana na mbwa iko siku
atakufata hadi msikitini, Hii kauli iliweza
kujidhihilisha kutoka kwa Tina ambaye alikuja
kuniletea seke seke kubwa.
SASA ENDELEA....Mimi na Tina tulizoeana sana yani
tulikuwa ni marafiki wakubwa kupita maelezo, Tina
kidogo alikuwa amekolea kwenye dini hivyo kila
siku ya jumapili ilikuwa ni lazima ahudhulie kanisani,
Alinishawishi na mimi niende kanisani kwao kusali
lakini nilimwambia kuwa dini yangu ni tofauti na
yake hivyo siwezi kuingia kanisani, Tina
hakunilazimisha sana kwani naye pia hakuwa
mkamilifu kwenye dini, kuna siku alikuwa anaenda
lakini kuna siku nyingine alikuwa haendi. Mimi na
Tina tulikuwa na tabia ya kutembeleana majumbani
kwetu, Nilikuwa nina uwezo wa kushinda kwa Tina
siku nzima hata Tina alikuwa na uwezo wa kushinda
kwangu siku nzima japo nilikuwa makini sana
kumchunga Tina asije akaingia kwenye kile chumba
maalumu na kuzigundua siri zangu, Kuna siku moja
nilikuwa nimetoka kwenda kwenye mizunguko
yangu, ilikuwa ni mizunguko ya kawaida tu ambayo
haikuwa na umuhimu wowote, Nikiwa barabarani
natembea simu yangu ya mkononi aina ya Samsung
j8 iliita, Niliichomoa kwenye mkoba wangu wa pinki
ili niangalie jina la mpigaji, Sikushangaa sana baada
ya kuona Tina ndiye aliyekuwa ananipigia lakini
nilivyoipokea ile simu nilijikuta natetemeka mwili
mzima, Tina alinipigia ile simu huku akinieleza ya
kwamba yupo nyumbani kwangu amekuja
kunitembelea lakini ameshangaa kuona milango ya
nyumba yangu iko wazi, Ile kauli ya Tina ya milango
kuwa wazi iliniogopesha sana nikajawa na hofu
isiyoelezeka, Niliamua kumwambia Tina asiingie
ndani lakini kwasababu Tina alikuwa amenizoea
sana aliamua kuhoji kwa nini asiingie ndani, Mimi
niliendelea kumsisitiza aondoke nyumbani kwangu,
Nilimsikia Tina akicheka sana huku akiniambia kuwa
nitamkuta sebuleni kwangu anaangalia Runinga,
Niliona kuendelea kuongea na Tina ni kupoteza
muda hivyo niliamua kukata simu ili nirudi nyumbani
kwangu kabla mambo hayajaharibika, Siku iyo
ilikuwa ni kama siku ya mkosi kwangu kwani hata
daladala ambayo nilikuwa nimepanda ilikuwa
inatembea mwendo wa taratibu sana hadi nikawa
namfokea dereva atuwahishe, Foleni nayo ilikuwa ni
kubwa sana barabarani, Niliogopa sana akili yangu
ilikuwa inamuwaza Tina kwasababu nilihisi huenda
akawa ameingia kwenye kile chumba ambacho
nikikuwa nimehifadhi vichwa vya wanaume ambao
niliwaua. Baada ya kusota sana kwenye foleni
takribani nusu saa hatimaye nilifanikiwa kurudi
nyumbani, Nilikuta mlango wa nje umefungwa,
Nilipoangalia kwenye kibaraza niliona viatu vya kike
vipo chini, Moyo wangu ulinipasuka sana nikajua
dhahiri Tina anaweza kuwa amegundua siri zangu,
Kabla ya kuingia ndani nilijiwazia sana lakini
nikaikumbuka ahadi yangu ya kwamba mtu yoyote
ambaye atagundua siri zangu lazima afe, Hivyo kwa
vyovyote Tina ilikuwa ni lazima afe. Niliufungua
mlango na kuingia ndani, Nilikuta Runinga yangu
ikiwa imewashwa bila mtu yoyote kuitazama,
Sikujaji sana nilitembea kuelekea kwenye kile
chumba changu maalumu chenye vichwa vya
binadamu, Sikuamini macho yangu baada ya kukuta
kile chumba kipo wazi huku Tina akiwa ameanguka
chini na kupoteza fahamu, Nilimnyanyua taratibu
nikamuingiza ndani ya kile chumba kisha
nikamfungia ndani yake, Baadhi ya vichwa vilikuwa
vimeoza na kuharibika huku vikitoa harufu kali,
Vichwa vingine vilikuwa vimebakia mifupa tu yani
nyama zote zilikuwa zimeoza na kuisha. Nilimfunga
Tina kamba mikononi na miguuni ili akizinduka
asiweze kukimbia, Sikuishia apo kwani nilimuwekea
matambala mdomoni ili asije akapiga kelele, Baada
ya kufanya vile nilimuona Tina akifumbua macho
kutoka kwenye usingizi mzito ambao alikuwa
amelala, Nilitoka ndani ya kile chumba haraka sana
nikawa nasubilia ifike saa saba usiku ili nikafanye
jambo la kikatili kwa Tina.
Saa saba ilivyofika nilirudi ndani ya kile chumba
nikiwa nimeshikilia kile kinu changu kikubwa huku
ndani yake kukiwa kuna mkasi na kisu kikubwa,
Tina alionekana kunishangaa sana huku akiwa
amejawa na uoga mwingi kwani alionekana
akiweweseka kutaka kujiokoa lakini ilikuwa ni
vigumu kwasababu nilikuwa nimemfunga kamba na
kumziba mdomo. Nilipanga kumkata tina viungo
vyake vyote na kuvitwanga kwenye kile kinu, Sikuwa
na huruma hata kidogo linapokuja swala la kuondoa
uhai wa mtu.