Nikweli stori inaendelea, muda wa muendelezo bado kwamaana ni stori isiyo na mwisho.Mbona kama stori inatakiwa kuendelea.....mwisho wa Aisha na Juma ni upi? Au jibu la yule bwana kuwa Juma hawezi kubadilika ni kweli?
Ningekua Mimi Aisha ningewalea tu wanangu kwanza.... Sasa kukuru kakara hizo ataishia kuachwa njiani na watoto huku Mali zote zimetapanywa.
bheka nawe at amashumi amabini anamabini amawaka amahlanu.
vipi? kizulu kinapanda nini?[emoji15]
Naanza kuelewa somo sasa. Kweli Juma kamwe hatobadilika mpaka mauti yatakapo mkuta na bado damu yake aloiacha itazidi kumuendesha Aisha. Pole sana dada Aisha.. Laiti ungeweza kujiokoa unge komboa kizazi chakovipi? kizulu kinapanda nini?