Erli Djei
Member
- Mar 30, 2023
- 51
- 95
nataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
Nielekeze best ila isiwe Telegram
huko sina nauli
nataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
huko sina nauli
Kauka basi 😜Mbona unaisomaga na ww lakin
Hee jamni mbona sielewi sema mimi ndo bado nipo nyuma saana sijui nirukeCharity ndiyo huyo kasharudi katika mwili wa mtu mwingine...Kelvin anazidi kucheza rafu, penzi la Lisa na Alvin limenoga
acha uoga

tuambie bc hata kwakuinunua😒😒😒Nielekeze best ila isiwe Telegramhuko sina nauli
![]()
tuambie bc hata kwakuinunua
Jamani naomba nielekeze hata kama kuna malipo nitalipianataman kukuelekeza wap utaisoma ila naogopa
Jack yupo hai, anakutana na Lisa, chester anakatwa mguu anakuwa mlemavu. Charity anaanza Anza kumpenda chester.

na ukute inaendelea

kwaio hutaki kusoma isidingo au
Nmekutana na hii..nadhan ni same storyJack yupo hai, anakutana na Lisa, chester anakatwa mguu anakuwa mlemavu. Charity anaanza Anza kumpenda chester.