Chubbylady
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 621
- 1,019
Sina hiyo storyMsaidie
Tuletee basinaona mwendelezo upo hot
Hebu acheni kutulingishia itumeni jamani.Mmmh ww
ngoja nishauriane na chubby Ili tusaidiane
Sasa ikikaa week uku utawajibu nn



Fanyeni chapu hicho kikao na Mungu awatangulie!




kuna watu itakua hadithi ndo chakula chenu![]()
kwenye kikao tunakubaliana kipi Chubbylady 
tutume au tukaushe

alafu tuwaringishie Lisa imefika kitabu Cha 27



kwenye kikao tunakubaliana kipi Chubbylady
tutume au tukaushe
alafu tuwaringishie Lisa imefika kitabu Cha 27
![]()



Sasa ni zamu ya chester kutesekaJamani tutumieni basi tutakufa na msongo wa mawazotena ipo motoSasa ni zamu ya chester kuteseka
