Simulizi: Kifo cha mdangaji

ujuguhapa

Member
Jul 28, 2020
30
36
Sehemu ya 1

Vishawishi tumeumbiwa binadamu ingawa vingine yatupasa kujitahidi kuepukana nanyo, maana binadamu tumepewa akili tukitofautisha na viumbe hai vingine.

Ilikuwa ni siku ya ijumaa, siku ambayo mara nyingi mimi na kaka yaani Mr Lufunga, tulikuwa tukichelewa kidogo kurudi nyumbani maana tulikuwa tunaianza wikendi baada ya miangaiko mbalimbali ndani ya wiki, sasa kutokana na hali ya kiuchumi kwa upande wangu sikuwa vizuri hiyo ijumaa, nikaona ni bora niwai kurudi nyumbani ili nikae nashem wangu tubadilishane mawazo ya maisha.

Nilipofika nyumbani kwa nje sikumuona na kibaya zaidi kaka na shemeji yangu aitwae Evodia walikuwa bado hawajapata mtoto, nilisogea mpaka sebreni nikihisi uenda nitamuona japo tuzungumze maisha lakini sikumuona.

Nikaamua kukaa mwenyewe Sebreni lakini nilikuwa mpweke sana wazo likanituma niende jikoni ili nimpe salamu na apike haraka tuje sebreni kuzungumza.

Ile nakaribia jikoni nikasikia maneno ambayo yalinishangaza sana, "ehh naomba hii dawa inisaidie mme wangu anipende, anisikilize mimi tu, asitumie hela zake na mwanamke yoyote nje akaniharibia familia yangu" na kibaya zaidi alikuwa amepewa sharti kuwa mtu yeyote asimuone na asimsikilize maana dawa haitafanya kazi, ilibidi nifungue mlango wa jiko haraka nikakuta shemeji yupo mtupu bila hata nguo ya ndani, akiwa amechuchumaa juu ya sefuria, dawa za ungaunga pembeni na mkojo wake ukiwa ndani ya sefuria kwaajili ya kuutumia kama mchuzi kwenye mboga ya mme wake yaani Lufunga.

"Shemeji kumbe unaamini mambo ya limbwata nimekusikiliza kila kitu"
"Hapana shem Leaster sio hivyo" aliongea huku akiwa anajiziba nyeti zake kibaya zaidi akawa ananisogelea ili anishawishi kufanya nae mapenzi kusudi nisitoboe siri na hata yeye apate kigezo cha kunifanya niogope kusemwa kwa kaka, "shem lake mbona unakuwa muoga" aliongea nikishangaa zipu yangu ikifunguliwa taratibu, wakati bado nashangaa huku nikiangalia umbile alilo barikiwa, shem aliinuka nakuanza kunipa denda palepale jikoni, akili alihama kabisa nikasahau kama yule ni mke wa kaka, ndipo nikaanza pia kutaka kumrizisha na kuonyesha ufundi wangu wote, sikuanzia juu bali nilianzia kwenye vidole vya miguuni nikipanda taratibu........

#usikose sehemu ya Pili.
 
sehemu ya 2

Nilipoambiwa na baba kwamba "jiandae kesho unaenda na tajiri yangu amekutafutia kazi mjini" mama alikataa,
"wee weh baba Jungule hatoki mtu hapa, binti yangu hawezi kwenda huko mjini kwenye maukimwi, akienda huko mimi nitabaki na nani hapa, mtoto mwenyewe ni mmoja huyo wa damu tuheshimiane kwa hilo"
"mke wangu, utakaa na mtoto mpaka lini, kwani Jungule ni mtoto, huyu si amepitiliza miaka 18, alafu unategemea haya maisha tutaishi mpaka lini wacha aende Dar es salaam bhana ili kupitia yeye na sisi siku moja tukienda kumsalimia tukatalii kidogo tuone mji, na Binti Jungule Mungu akimfungulia milango ujue na sisi tumetoboa maisha mke wangu"
Mama alishawishika akakubali, mimi nisinge pinga maamuzi ya baba mzazi maana baba alikuwa mkari mno apingiki, nakumbuka alinionya kupatia ujauzito nyumbani na kweli mpaka naenda mjini nilikuwa bado sijabikriwa.
Shizouka yaani tajiri yake baba alikuja na gari lake pale nyumbani aina ya HILUX (hardbody), kiukweki sikuwa na begi zuri na hata vitu vya maana, nikaagana na wazazi huku mama akiwa mnyonge kweli nikaingia kwenye gari kisha tukaianza safari kwenda mjini.
Nilikuwa nasikia raha kweli gari lilivyo kuwa linaendeshwa na kufurahia kula chakula alicho kuwa ananunua Shizouka tukiwa njiani.
Tulifika salama nyumbani kwake, palikuwa pazuri, amepanda maua yanavutia, sebreni kiukweli pazuri, yaani nilijisikia amani mno jinsi palivyo kuwa pananukia mule ndani.
"Jungule kafungue friji uchukue kinywaji unacho kipenda"
Alisema Shizouka
Friji kweli niliiona na nilitamani kunywa chochote lakini niliogopa maana nilihisi siwezi kuifungua kwa ushamba wangu tu.
"asante kaka nimetosheka maana nimekula sana njiani"
Shizouka aliamka akisema mbona hukunywa maji tokea kijijini, huku akifungua friji na kuchukua maji"
Ndipo nikamtazama kwa umakini ili siku nyingine nisishindwe kufungua.
Tulizungumza mengi, akasema kijana wake wa kazi ameenda kwao kwenye msiba.
Kulipokucha Shizouka akashangaa nipo na jembe nje napalilia maua yake, maana jembe lilikuwa karibu na nilikuwa nimeisha zoea kuwai kuamka na kufanya kazi kijijini.
"Jungule usiwe unalima bhana, njoo ukae sebreni upumzike"
Alinishika mkono na kunirudisha ndani tukiwa wawili nyumba nzima.
Usikose#3
 
SEHEMU YA 3

"Jungule kajiandae ndani twende kupata chai" alisema Shizuoka, kisha akaingia chumbani kujiandaa pia, sikuwa na mavazi yenye muonekano mzuri wa hadhi ya kuzunguka mjini na Shizuoka lakini hakunitenga tukaingia kwenye gari lake dogo akanipeleka sehemu nzuri, palikuwa pameandikwa KFC kwaajili ya chai.
"karibuni, tuwahudumie nini"
walisema wahudumu wa pale KFC, sasa mimi ile Menu ya chakula ilikuwa inanichanganya yale majina ya vyakula vyao na hata bei zake zilikuwa kubwa kwa upande wangu ikabidi ninyamaze tu sikumjibu muhudumu kwanza ili nisije kuagiza mavyakula yakanishida kula au hata bei kuwa kubwa.
"Jungule mbona humjibu muhudumu siuagize sasa"
"kaka Shizuoka agiza kwanza wewe utakacho kula wewe na mimi ndio hichohicho nitakula"
Niliongea hivyo nikiwa najirembulisha ili wasinisome lakini tatizo ilikuwa ni ushamba wa yale majina ya vyakula maana kijijjni kwetu sikuzoea maisha kama hayo kabisaaaa.
Tulipomaliza kula shizouka akanipitisha dukani kisha akaninunulia nguo, mafuta na kata kucha, nakumbuka alinunua hadi kioo cha kujitazama ili nisiweze kuteseka nikiwa chumbani kwangu.
Nilifurahi sana kupata nguo mpya na kutokana na ushamba wa zile nguo za mjini na ule mshangazo wa kupata nguo mpya kwa mkupuo wakati najipima chumbani nilikuwa namuita shizouka aje kunitazama ninavyo pendeza"
Kweli alikuwa anakuja ananiangalia kama nimependeza kisha ananipa sifa ya kupendeza alafu anatoka nje na mimi navua zile nguo na kuvaa zingine anaingia chumbani tena kunitazama ananipa sifa vilevile.
Kwenye zile nguo tulizo kuwa tumenunua kuna moja hivi ilikuwa kama kipensi kinabana alafu kitambaa chake kilaini cheusi na kitisheti chake cha pink sasa nilipovaa kikanicholesha umbo langu lote nikamuita tena aingie chumbani kunipa sifa, kiukweki upendo wa kweli haujifichi nilihisi kabisa kwamba shizouka ameisha nipenda maana alitazama mwili wangu sanasana mapajani na akawa kama amezubaa furani hivi akasita kuongea.
"vipi kaka shizouka upo sawa"
"ndio Jungule, nipo sawa na umependeza umekuwa mrembo mno unavutia, hiyo nguo ndio uvae badae usiku nikupeleke CINEMA"
"Cinema ndio nini kaka"
"utajua hukohuko, ni sehemu tu ya burudani hapa mjini"
"haya sawa"
Usikose#4
 
sehemu ya 4
Nilijikuta naingia kwenye ukumbi una viti vingi alafu mbele kuna Runinga (Tv) kubwa,
"kaka shizouka humu ndio cinema" niliuliza
"Ndio Jungule unapo sikia jumba la Cinema, basi ndio hapa"
Kiukweli shizouka alikuwa anatamani sana kunishika mkono kila mda wakati tunaangalia hiyo movie mpya na nilikuwa nimevaa kile kinguo kifupi alicho kuwa amenambia nikivae, lakini ile movie ilikuwa inatisha mno maana ilikuwa ya mavampaya na ukiangalia kipindi hicho kijijini tulikuwa hatuna Runinga, hata umeme wenyewe ulikuwa hujafika hivyo nakumbuka movie ya kwanza kuangalia kijijini kwetu ilikuwa ya YESU tena ilikuwa kwenye kanisa moja hivi la warokole.
Baada ya kumaliza kuangalia movie tulirudi nyumbani mida hiyohiyo ya usiku tukiwa tumeisha kula chakula.
Sasa wakati kila mtu amelala chumbani kwake kiukweli mimi nilishindwa kuvumilia. Kila nilipojaribu kusinzia ile picha yayale mavampaya ikawa inaniijia kichwani, kuna kipindi umeme ulikatika, nikaona kama sura ya lishetani ukutani duuh,
nilitoka mwenyewe chumbani nikaenda mpaka mlangoni kwa Shizouka .
"hodi, hodiii nifungulie kaka"
"Jungule mbona usiku sana hujalala"
"kaka shizouka naogopa giza naona yale mawatu ya kwenye Tv, naogopa kaka"
"hahahaaaa, na wewe punguza uoga, haya panda kitandani ulale"
Kiukweli nilikuwa muoga mno tangu utotoni mwangu na wote tulikuwa tumevaa nightdresses usiku huo, kumbuka umeme ulikuwa umekatika.
Nilijikuta najifunika nae shuka moja na hapo ndio woga ukaisha wa yale mavampaya.
"sijui umeme umeisha, maana unachelewa kurudi Jungule"
Kuna kipindi nilikuwa najaribu kuweka shuka sawa sasa katika kubaransi shuka ili litutoshe wote kwa bahati nzuri au mbaya mkono ukapita karibia na sehemu zake za siri yaani , kumbe mda wote hajalala anawaza atatumia njia gani kunishawishi ili tulifanye tendo maana mashine yake ilikuwa tayari imesimama.
Baada ya mda kidogo nikaona kama anajisogezesha kamkono kake karibu na maziwa yangu.
Mhhh nikakaa kwa umakini, mda kidogo tena akaweka mguu katikati ya miguu yangu, nikajua anacho kitaka ninini,
lakini ubaya ni kwamba nilikuwa sijawai kulifanya tendo hivyo sikutaka kuyapata maumivu ya kutolewa bikra yangu usiku huo. "Shizouka unataka nini mbona sikuelewi kaka"
Usikose#5
 
sehemu ya 5

"hapana Jungule nimekugusa bahati mbaya tu, nisamehe" aliongea shizouka kwa upole nikajua tu ni hisia zimeisha mpanda za mapenzi. Nilijikuta nimepitiwa na usingizi na ni kweli lala yangu tangu nikiwa mtoto ilikuwa ya kujitanua sana nikiwa nimelala fofofo yaani unakuta mguu mwingine huku mwingine kuleee, sasa ile nightdress ikatanuka kuja juu yaani tuseme kwanzia kiunoni kushuka chini nikabaki kama nilivyo zaliwa wakati huo bado shizouka hajaniona vizuri umbo langu.
Mara ghafla umeme ukarudi maana ulikuwa umekatika, Shizouka alivyo nitazama nyeti zangu akashindwa kuvumilia kwakweli, maana kama alivyo nisimulia anasema mtalimbo ulisimama mno kupita kiasi.
Ndipo akaanza kunipapasa akinitomasa ili aniingize ulimwengu mwingine, nilimsikia anachokifanya kwenye mwili wangu, lakini sisi wasichana mda mwingine uwa tunajifanyisha tu kucheza na uelewa wa mwanaume.
Alipambana kwa kweli kunishikashika mwili wangu hata mimi uvumilivu ukanishinda nikajikuta nampa ushirikiano kwa kuanza kumpapasa mgongo, alinilainisha tukaanza kisses, kwasababu alikuwa anahamu sana akapanda juu yangu kabisa akitaka kuiwekamo.
"shizouka kwanini unafanya hivyo, mimi sitaki bhana"
"hapana Jungule my love niko vibaya naomba unisaidie"
Nilijisikia raha Shizouka alivyo niita my love, nikajua hapa shida zote na tabu zimeisha maana naingia kwenye ndoa ya kitajiri.
"na baada ya kufanya je"
Nilimuuliza hivyo
"nitakupenda daima, kaka wawatu alijikaza akatamka hivyo"
Nikajikaza na kumruhusu afanye anachotaka kwenye mwili wangu pia.
Kiukweli ilikuwa ni shida umo ndani kila nilipojaribu kujikaza aweze kushindilia ndani nilikuwa nasikia maumivu mno
"Jungule kwani wewe bikra"
"ndio Shizouka sijawai kufanya mapenzi naumia naomba nikuruzishe kwa njia nyingine "
Usiku ulikuwa mrefu alijitahidi nikawa namsukuma akanipiga kofi kwenye makalio
"tulia basi Jungule mbona msumbufu hivyo siuache nimalize"
"msumbufu nini wakati naumia bhana"
"weka mguu hivi sasa na huu weka hapa, usijikunje acha mpaka izame umesikia"
Wakati anataka kuichomeka nikajikunja tena maana ilikuwa inauma
"Jungule kwanini unafanya makusudi lakini"
Ilikuwa ni hoi hoi sitosahau.
KAMA UNASOMA HII STORY ANDIKA NZURI IENDELEE KWA HARAKA ZAIDI ya #6
 
sehemu ya 6

"shizouka, unanipenda kweli"
"ndio nakupenda Jungule"
Nilimuuliza hivyo ili nijikaze na yale maumivu aweze kunibikiri yaani awe mwanaume wa kwanza kwenye maisha yangu, lakini hata nilivyo jikaza tena na tena ilishindikana kabisa kubikriwa usiku huo kwa yale maumivu.
Shizouka alipo ona namzingua akanuna akiwa anaangalia pembeni tukiwa wote kitandani.
"mbona umenuna my"
Nilimuita my maana niliona aibu kumuita Kaka kwasababu wote tulikuwa tumeisha gusanisha nyeti zetu, hivyo nikaona niseme tu my.
"Jungule vitu vingine unafanya makusudi bhana sasa nisipo toa hiyo bikra sinitaonekana mzembe mimi, unanikosea Jungule"
Kiukweli tulizozana kwa mda mrefu ikafika mda shizouka akachoka akaamua kulala.
Kulipokucha tukiwa tumelala wote, "jungule naomba ufanye usafi hapa chumbani na utachukua nguo zako uamishie humu, nakupenda Jungule"
Sikuamini kama nimekuwa (mother house) mama mwenye nyumba! Na baada ya shizouka kuzungumza hivyo akaenda mjini.
Aliporudi akakuta nimefanya usafi nyumba nzima nimebadilisha mashuka na kutandika mashuka mapyaaa nimeoga nimependeza.
Alikuwa amebeba mzigo, kumbe kaenda kununua chakula na mafuta ya kulainisha nyeti ili aweze kunibikiri kwa urahisi.
Baada ya kula nilipeleka vyombo jikoni ile narudi chumbani nikamkuta Shizouka amejipanga kufanya tendo na mimi.
Alinishika mkono akanidondosha kitandani, akaanza kunishika sehemu ambazo nilikuwa sijawai kushikwa nikiwa naishi kwa wazazi wangu, kiukwel nilikuwa nasikia raha, nikajikuta nipo mtupu, akachukua yale mafuta akanipaka.
"hichi nini, mbona unanipaka mafuta"
"haya yanapunguza maumivu"
Akajipaka na yeye kwenye uume kisha akanambia
"lala, tanua huku mguu na huu hivi, usijibilingishe Jungule, tumalize hii kitu chap, ona navyo kupenda mpaka nimenunua haya mafuta kwaajili yako"
"sawa shizouka nimekuelewa"
Nilijikaza akapanda juu yangu akaanza kuninyonya lips ili anizubaishe
Nilishangaa kusikia nyama ukeni ninachanika, kwa yale maumivu nikamn'gata mdomoni Shizouka akaniachia na akawa ameisha nitoa usichana wangu.
Damu zikatoka, Shizouka akafurahia kweli kukamilisha mpango wake
Ilibidi nimuulize tena swali nikiwa najifuta machozi maana alikuwa kimya kama anamawazo
"shizouka kweli utanioa"
USIKOSE #7
 
sehemu ya 7

"shizouka mbona hunijibu my, au ulitaka kunichezea tu, yaani kunitoa usichana wangu na kuniacha ehh"
Nilikuwa nimeisha panic wakati ule na sijui kwanini nilikuwa na harakaharaka ya kutaka kujua, lakini kiukweli kwa wazifa aliokuwa nao shizouka ni lazima kwa binti masikini yoyote kama mimi awe na kiwewe, maana shizouka alikuwa na pesa, kitanda chake chenyewe hata nilipokuwa nikifanyiapo mapenzi najihisi furaha tele moyoni na ninaburudika kwelikweli na ule ulimbukeni nazani.
"Jungule, kwasababu nimekukuta na usichana wako yaani nimekuwa mwanaume wa kwanza kukutoa bikra, wewe ndio mwanamke wa maisha yangu, maana tangia nimeanza mapenzi nimekuwa nikisia bikra mara bikra ila hii ndio mara yangu ya kwanza kumtoa msichana ubikra, hivyo kila kilichopo hapa nichakwetu sote mke wangu naomba tu usije ukawa msaliti uwe mkweli ili Mungu afungule milango ya baraka na mafanikio kwenye maisha yetu"
"sawa mume wangu, nakupenda shizuoka, wewe ndio mwanaume wa maisha yangu, nitakuheshimu kama nilivyo muheshimu baba yangu kuutunza usichana wangu mpaka kuutoa wewe mume wa maisha yangu yote"
Tulifurahia maisha sana, nikanunuliwa na kufanyiwa kila kilichoitwa kitu bora kwa mwanamke, nilisuka mitindo tofauti tofauti ya kishua, nikaonekana (modern girl) yaani mwanamke wa kisasa, ngozi yangu ikawa nzuri na nyororo nikawa mrembo tofauti kabisa na nilivyo toka kijijini, hata yale machacha yaliyo kuwa yame chanikachanika miguuni yakafutika nikawa na miguu milaini, kiukweli sijui shepu yangu ilitokana na mapenzi ya shizouka maana umbo langu lilikuwa zuri hata marafiki wa shizouka wakawa wanamsifia wakimwambia,
"mzee umeangukia kimwana, umbo na (8)eight mzee".
"mke wangu wiki ijayo utaanza kujifunza gari nimeisha ongea na mwalimu atakufata hapa"
"shizouka mimi siwezi naogopa kuendesha, kwanza hapa dar kuna magari mengi nitagongwa"
"Jungule hakuna alie zaliwa anajua, utaelewa tu kuendesha gari my wife"
Nilijifunza mpaka nikawa dereva mzuri tu.
Nilitambulishwa kwa wazazi wake na wazazi wangu pia wakamjua shizouka.
Nilichokosea ni pale nilipojiunga na kwaya ya kanisa ambalo mume wangu alipokuwa anasali na hapo ndipo nahisi ndipo chanzo changu cha kuanza udangaji kilipoanzia.

USIKOSE #8
 
sehemu ya 8


Kiukweli dunia imefika mwisho, nasema hivi sio kwamba ninauhakika asilimia zote kwamba mwisho wake ni kesho kweli, lakini kwa vituko nilivyokuwa nikiviona kanisani, wacha kwanza nicheke, "haaahahaaaaa".
Nakumbuka siku ya kwanza kufika kwenye hilo kanisa nilivutiwa sana kwa jinsi waimba kwaya walivyo kuwa wanacheza kwa maringo wakiimba na kumtukuza Mungu.
"shizouka mme wangu, nimependa wanavyo cheza na kuimba yaani hata mimi natamani kweli kujiunga nao"
"hamna shida mke wangu ngoja baada ya ibada nitaongea na mwalimu wao wa kwaya madam @lamataleah (leah) aone kama anaweza kukupa nafasi, lakini Jungule utaweza kweli kuimba"
"ndio nitaweza"
Kwasababu mume wangu alikuwa na wazifa na alikuwa anatoa michango mbalimbali ya kanisa, alipomuomba mwalimu Leah hakumpinga kabisa,
Ndipo nikaanza mazoezi nao kila siku za alihamisi saa kumi mpaka saa 12 jioni.
Kwakweli kwenye ile kwaya kuna kaka mmoja alikuwa anaitwa Sagara, yule kaka alikuwa akiimba, akicheza, akionesha sura ya kuimba, jinsi alivyo kuwa akijibenuabenua akionesha madikodiko na mbwembwe za kumuimbia Yesu, watu wote ikiwemo mume wangu hata mchunguaji walikuwa wakimsifia yule kaka.
Kutokana na manjonjo ya yule kaka tukajikuta tunakuwa marafiki wakubwa mno maana nilikuwa navutiwa na mbwembwe zake.
Mwanzoni sikufikiria kabisa kama ningeweza kuwa na sagara kimahusiano ila "kufanya sana mazoea na mtoto wa kiume, mke wa mtu sio vizuri"
Kuna kipindi hata tukiwa kanisani mchungaji akiwa anaendelea na ibada, unakuta sisi chini tunakanyagana vidole vya miguu, tena miguu ya kihisia na wala sio masihara, nikawa kama napata hisia za mapenzi kwa sagara, lakini najikaza na kukemea hisia maana nilikuwa mke wa mtu na woga juu, ikafika kipindi nikaanza kum' miss yaani natamani hata aje nyumbani tuzungumze mpaka mume wangu akamjua sagara na akawa anajua sisi ni waimba kwaya hivyo hakuwa na wasiwasi wowote na kikubwa ni kwamba kwasababu alinitoa bikra yeye hivyo alikuwa anajua fika kuwa ninamsimamo mkubwa mno siwezi kumsaliti.
Kuna siku moja wanakwaya wote tulipata mwaliko kwenda Mbeya, kwenye moja ya makanisa ya shirika letu hivyo hata mimi mume wangu akaniruhusu kwenda huko sagara pia akakubali kwenda kulitangaza neno la Mungu.
 
sehemu ya 9

Tulifanikiwa kufika Mbeya salama. Tulipelekwa hadi sehemu tulipokuwa tunaweka kambi, haikuwa Mbeya mjini ilikuwa ni chinichini na kuna mahindi mengiii wamelima.
Kwasababu tulikuwa tumefika jioni na tumechoka na safari ikabidi kwanza tupumzike ili kesho mambo ya ibada yaendelee, hivyo wanawake tukapewa chumba chetu wanaume wakapewa chao na wale viongozi wakalala kivyao pia na aliekuwa ameongoza msafara ni baba wa kanisa (pastor) pamoja na @lamataleah (leah) kiongozi wa kwaya.
Sasa kwasababu nilikuwa na namba ya Sagara wakati tumelala nikamtumia message
"mambo"
"poa, Jungule"
"usiku mwema sagara best yangu"
"poa Jungule, lakini kama kuna uwezekano naomba nikuone kabla sijalala"
"mhh sagara mbona usiku, watatuhisi vibaya bhana"
"Jungule unaogopa maneno ya watu, unaniangusha kweli yaani, na hakuna ambae hajui wewe ni best yangu bhana wewe njoo huku nyuma kwenye mahindi kuna giza nono tutatulia tuli kuvyetu"
"poa tangulia sagara, nakuja lakini hakuna nyoka huko kweli"
"hamna bhana mimi nipo acha woga"
Kweli nilitoka ndani waimba kwaya wa kike wakihisi naenda chooni maana choo ilikuwa nje nikaenda mpaka alipo nielekeza, nikakuta sagara amevaa kipensi kifupi na amejifunika kikoi cha kimasai mimi nikiwa nimevaa trakisuti, alikuwa anasikiliza nyimbo ya @harmonize_tz Aiyola kwenye earphone zake wakati huo ndio nyimbo imetoka kila mtu anaikubali. Akachukua earphone ya upande wa kushoto akanipatia, hivyo mili yetu ikawa kama imekaribiana, baridi ilikuwa inagonga mno, ndipo akanifunika pia kikoi chake cha kimasai ikabidi nimsogelee kabisa ili kitutoshe wote. Kulikuwa na kigiza cha usoni wakati hule hatuoneani aibu kabisa shetani akiwa kazini.
"sagara hivi wakitukuta hapa tutasemaje"
"kwani watahisi tunafanya nini"
Sagara akaniuliza
"watahisi tunasex sagara"
"Jungule sasa kuliko watuhisi ni bora tufanye kweli"
Yule kaka alinishika kiunoni akaanza kunikiss shingoni, akagusa sehemu ambazo zilinipandisha hisia haraka ambazo hata mume wangu Shizouka hajawai kuzipapasa, nilishangaa kuona suruali inavutwa,
"mimi sitaki sagara"
Nilijiongelesha kumbe nataka tufanye tendo, lakini kumbe kwa nyuma @lamataleah ameishasoma mchezo yupo anaangalia kilakitu tunachofanya.

Usikose sehemu #10
 
sehemu ya 10

Sikuamini sagara alichokuwa akikifanya kwenye mwili wangu, nililainika mwili mzima na nikawa tayari kabisa kulifanya tendo na yule kaka.
Nafsi ikawa ina nambia, "Jungule muheshimu mumeo, mbona anakupenda na kukujali, tafadhari sana naomba usizini jungule" , na nafsi nyingine yenye nguvu mno ikisema, "mumeo hatojua burudika na sagara wako kijana unae mpenda Jungule"
Yule kaka alikuwa mtundu, unajua nilishangaa sidiria yangu imeisha funguka kifua changu kipo wazi, wakati bado nipo naona kama maruhiruhi yaani siamini kama namsaliti mume wangu Shizouka yaani nimeshikwa na bumbu wazi nikawaza, "hivi kweli sagara kijana anaesifika kanisa zima akimuimbia Mungu na kuhudhulia ibada zote leo hii anafanya utundu huu wote kwenye mwili wangu na anajua mimi mke wa mtu"
Sikutaka kusema chochote ila nilichokiona ni suruali yangu ilipoanza kushushwa chini taratibu. "Jungule niko vibaya sahivi nahitaji tendo, na hapa chini sio pazuri kulala kifo cha mende kuna umande mwingi"
"kifo cha mende ndio nini mtumishi" nilimuuliza sagara nikiwa ninahamu mpaka sauti ikawa inasitasita kutoka kwa upuuzi tulio kuwa tunataka kuufanya maana kiukweli yeye ndio alikuwa mwanaume wa pili kuuchezeachezea mwili wangu hivyo hata majina ya staili mbalimbali nilikuwa siyajui.
"utaelewa tu maana yake, naomba uiname kama unavuna maharagwe"
Kwasababu kijijini tulikuwa tunalima nikaelewa anachotaka ni nini
Ndipo nikajiinamisha na kujisahau kama mimi ni mke wa mtu, wakati sagara anashusha pensi yake ili aanze kunishindilia, kabla hajaanza tendo yule kiongozi wa kwaya Lamataleah akajifanya kama anaguna "mhh mhhh kuna watu huko"
Alifanya hivyo kiutu uzima ili na sisi tuwe na amani na tusijishitukie kwamba tumeshikwa ugoni ikapeleka tukakosa amani na kushindwa kufanya vizuri wakati wa kuimba kwaya kesho asubuhi kanisani.
Tulivaa haraka mno, nikajifanya nasema, "nisisi tupo huku madam tunapiga story"
"sio vizuri kukaa huko usiku huu"
Tukatoka haraka
"mtumishi mbona hujafunga zipu, na wewe kwanini unasweti na baridi hii Jungule unaumwa au"
"Hapana madam tulikuwa tunafundishana kuimba kwaajili ya kesho"

Tulipoingia vyumbani tukaanza kutumiana meseji za kufanya mapenzi kwenye simu, mpaka tukasinzia.
USIKOSE #11
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom