Niungane nae kwenye ushetani wake😂😂😂😂😂😂Akikushinda, ungana naye
Duuuh! hata wewe leo kakuchunia?basi atakuwa busy sana ndugu yetu,hanaga matatizo bishop,atakuja tu!duh..aya mtunzi kwani tuna option basi hatuna aisee
akija utani'tag' mkuuDuuuh! hata wewe leo kakuchunia?basi atakuwa busy sana ndugu yetu,hanaga matatizo bishop,atakuja tu!
...akija utani'tag' mkuu
Bishop pole kwa matatizo mkuu wangu tupo pamoja ni vile subra mtihani naamini sikukwazi maana tatizo langu unalifahamuMaisha ni jinsi unavyoyachagua wewe, ukitaka yawe hivi yatakuwa ulivyopanga. Ni jitihada zako tu kujichagulia maisha uyatakayo.
UTATA ni mwendelezo wa visa na mikasa katika Harakati za Jason Sizya... ni kisa kinachozidi kumchambua Bishop Hiluka kama mwandishi wa aina yake... SAFARI YA BUZWAGI ilianza kama utani wakati Jason aliposhindwa kuidhibiti zipu yake na kudhihirisha ufuska wake kwa kubanjuka hata akiwa safarini, chuki na ghadhabu ya Jameela ikaibuka na kusababisha mauaji kwa sababu tu Jason alisababisha pale alipofunga safari akidai NARUDI BUZWAGI, misukosuko ikampata na kutaka kumtia uchizi katika FUNGATE, halafu sintofahamu ikaibuka wakati akijikuta katika dunia nyingine ya kufikirika, dunia ngeni na yeye akiwa mgeni kabisa lakini mwenyeji wake akamwona kuwa hakuwa mgeni wa kawaida bali ni MGENI MWEMA, na hatimaye akaja kuianza safari nyingine ngumu katika maisha iliyokuja kuzua mambo ya hatari yaliyoishia UFUKWENI MOMBASA, kabla haijazuka TAHARUKI iliyoishia kwenye taharuki hadi sasa ikiwaacha wasomaji hawana majibu ya kipi kimempata mwandishi kwani si kawaida yake kupotea hivi, na sasa ndipo unapozuka utata huku Jason Sizya yule yule ndiye anayejikuta katika UTATA huo...
Hii ni zawadi nyingine ya aina yake kutoka kwa mwandishi huyu. Naamini utafurahi.
Stay tuned. I'll be back soon...
Litro usikonde, nina matatizo ambayo bila kuyashughulikia kwanza wala simulizi haiwezi kunoga. Tuombe Mungu mambo yaende sawa, maana kila sehemu ni utata mtupu...
HahhahaBishop Bishop waumini twasubiri muongozo tuendelee kupunguza maumivu ya Ukraine
Msikonde, mambo mazuri yanakuja, kuna shida kidogo naishughulikia...Bishop Bishop waumini twasubiri muongozo tuendelee kupunguza maumivu ya Ukraine
Jipe moyo mkuu bd kdg msos uwive!mtu anibembeleze niendelee kuisi humu kwa matumaini maana tamaa imebaki nyembamba kukatika
mh tatizo matumbo mkuu yanazidi kuumia
Bishop yupo kwenye taharuki aanze chai au nkate?