Simulizi: Harakati za Jason Sizya

Maisha ni jinsi unavyoyachagua wewe, ukitaka yawe hivi yatakuwa ulivyopanga. Ni jitihada zako tu kujichagulia maisha uyatakayo.

UTATA ni mwendelezo wa visa na mikasa katika Harakati za Jason Sizya... ni kisa kinachozidi kumchambua Bishop Hiluka kama mwandishi wa aina yake... SAFARI YA BUZWAGI ilianza kama utani wakati Jason aliposhindwa kuidhibiti zipu yake na kudhihirisha ufuska wake kwa kubanjuka hata akiwa safarini, chuki na ghadhabu ya Jameela ikaibuka na kusababisha mauaji kwa sababu tu Jason alisababisha pale alipofunga safari akidai NARUDI BUZWAGI, misukosuko ikampata na kutaka kumtia uchizi katika FUNGATE, halafu sintofahamu ikaibuka wakati akijikuta katika dunia nyingine ya kufikirika, dunia ngeni na yeye akiwa mgeni kabisa lakini mwenyeji wake akamwona kuwa hakuwa mgeni wa kawaida bali ni MGENI MWEMA, na hatimaye akaja kuianza safari nyingine ngumu katika maisha iliyokuja kuzua mambo ya hatari yaliyoishia UFUKWENI MOMBASA, kabla haijazuka TAHARUKI iliyoishia kwenye taharuki hadi sasa ikiwaacha wasomaji hawana majibu ya kipi kimempata mwandishi kwani si kawaida yake kupotea hivi, na sasa ndipo unapozuka utata huku Jason Sizya yule yule ndiye anayejikuta katika UTATA huo...

Hii ni zawadi nyingine ya aina yake kutoka kwa mwandishi huyu. Naamini utafurahi.

Stay tuned. I'll be back soon...

Litro usikonde, nina matatizo ambayo bila kuyashughulikia kwanza wala simulizi haiwezi kunoga. Tuombe Mungu mambo yaende sawa, maana kila sehemu ni utata mtupu...
 
Bishop pole kwa matatizo mkuu wangu tupo pamoja ni vile subra mtihani naamini sikukwazi maana tatizo langu unalifahamu
 
mtu anibembeleze niendelee kuisi humu kwa matumaini maana tamaa imebaki nyembamba kukatika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom