Simulizi fupi yenye mafunzo: Kahaba

Simulizi fupi yenye mafunzo: Kahaba

ila jamaa hakua na jinsi.yule mkewe mama careen aka mama kumben a sio kbisa.me mke kama huyo ningekua nshamuachia nyumba na kila kitu aiseee.inataka moyo mwanamke anakupiga na mwiko adi unaanguka chini bado unasema kaka tuvumilie ndoa zetu!!!??u cnt be serious!
 
Nadhani alikuwa anampenda ndo maana pamoja na kuchepuka lakn hajawai lala nje ya nyumba yake
 
Nimejifunza kuwa ukiwa na mpango wa kando lazima umjue kiundani sana kabla mambo haijaharibika pia wasichangie hata kabila na wife. Cha pili, nitahakikidha nawajua ndugu wa kike wa karibu na mke wangu ili nisije changanya mambo.
 
Hahahahah wewe kibokoo sio Ku achana na mpango wa kando
 
Hivi unawezaje kumfunga MTU ambaye hajahusika moja kwa moia na kifo na MTU mwingine .

Yaani wamejifia wenyewe halafu wewe unaonekana una hatia .

Huwa sielewi hapa
 
Back
Top Bottom