akisubiri amri tu ya mbele tembea ili aanze kushambulia,,,,,Basi Neema akaanza kaniambia.
""Ngosha hivi wajua we ni HB sana, wajua kwa nn kule chuoni wasichana wakutaka sana,,,,,Na mm ni miongoni mwa wanaotamani siku moja wawe na mwanaume km ww kwanza ww Ngosha ni mpole,,mtulivu,,mkalimu,,na licha ya kifua chako hocho kilivyo gawanyika pia una heshima kwa kila mtu,,hivyo mm siwezi kukuacha kamwe na nikutamke tu kwamba NAKUPENDA NGOSHA.""""Alimaliza kuongea hivyo Neema kwa kuwa mimi ni mtu nisiopenda sana wanawake nikaona ananipigia makelele tu na kumuacha. Nilichukua gari yangi aina ya BMX na kuendesha kwa speed kali kutokana na kuandamwa sana na visichana vya hapa chuoni nilafika hostel mbagala na kuoga na kisha kupumnzika huku nokiwaza kile kitendo nilichotaka kufanya na neema huko hotelini, nilijilaumu sana kwani ni kinyime sana na mafunfisho ya dini yangu na hata kitendo chenyewe sijawahi kukifanya tangu nizaliwe ,,kwa kuwa mm ni mtu wa mungu sana na kila mda nasali aniepushe na hivi vishawishi...
. Asubuhi na mapema niliamka na kujiandaa kisha nikawasha ndinga yangu hadi chuoni ambako nilidndelea na lecture hadi mda wa break ulipofika na nikaamua kuenda zangu caftelia kupata supu nikiwa na rafiki angu Dotto,,tulifika na kuagiza na kuanza kupata msosi gafla nikashikwa bega kutazama ni nani huyu,,,,,nikataharuki baada ya kuona sura nzuri ya maji ya kunde niliendelea kumchunguza huyu binti na kubaini kuwa alifanana kila kitu na msanii wa marekani aitwae NICK MINAJI.akanisalimu na kukaa kando yangu nilikuwa namjua sana ni miongoni mwa wasichana wanaonisumbuaga apa chuoni ,
,,,baada ya kumaliza tukaenda sehem na kuanza kuniongelesha utumbo wake na mm nkaendelea na msimamo wangu uleule wa kutojihusisha na mapenzi mpaka ntakapooa.,,,......,..... baada ya hapo nikaamua niende zangu na mshikaji wangu Doto maktaba tukapihe kitabu, tulifika n kukaa lkn kabla ya kukaa nikamuona Neema mle libray akiwa na rafiki ake Vicky wakichagua vitabu,,,,,,,,,,,,,wakaniomba niwasaidie na mm bila hiyana nikaanza kuwasaidia,,,,,,,,sasa uyo rafki ake alivokuwa akiniangalia mhhh .......
*ITAENDELEA SEHEMU INAYOFUATA*