moneytalk
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 8,040
- 16,870
sikutaki that's all
Huyo ni eksi wangu kipenzi changu
Huyo ni eksi wangu kipenzi changu
simtaki tena jaman,yuko huru
mimi huyuhuyu????Huo ni utani bana kipenzi changu
Nisamehe mpenzisikutaki that's all
Ndiomimi huyuhuyu????
Hapo hujaniita lkn tuko pamoja
Ndio
Jamani hakuna Deborah kama wa faraji humu, maana moyo umeanza kuloana....tafadhari jamani, kama yupo anyooshe mkono juu tu.....SEHEMU YA 77
Ndugu wa Nasra wanasema hawaoni kama mtoto wao yupo katika hatia ya wizi wa mtoto, maana yule ni mwanaye aliyemzaa, hivyo anayo haki ya kuwa naye wakati wowote.”
Nilishusha pumzi ndefu, hasira zikiwa zimenijaa kifuani, niliagana na mama nikamwambia nitamwambia hatua nitakayoichukua.
Nilichofanya ni kumipigia simu mchumba wangu Debora, na kumpa taarifa juu ya mke wangu wa zamani, Nasra, kumwiba mtoto wangu Mwanda. “Si nilikwambia kwamba jambo hilo linaweza kutokea. Unakumbuka?” “Nakumbuka mpenzi.Uliniambia.” “Ameibwa lini?”
“Tangu asubuhi ya leo.” “Na umesema amesafiri leo kuja Dar?” “Ndio.” “Kwa usafiri gani?” “Treni” “Huyo tunamkamatia hapahapa Dar, wala usijali mpenzi wangu…sawa?” “Tutafanyaje?”
“Mahakama ilikwishapitisha hukumu wewe ndiye unatakiwa kuishi na mtoto wenu, hadi atakapofikisha miaka saba, kitendo cha Nasra kumchukua kinyamela ni kosa kisheria.”
“Kwa hiyo?” “Kachukue RB No kituo cha polisi, mimi nitawasiliana na kamanda wa polisi kitengo cha reli, Gideon Nkeremi, huyu ni class mate wangu. Atatusaidia kumtia mbaroni.”
Hiki ndicho kitu ninachompendea Debora, ni mwanamke mwenye akili za haraka haraka, ambaye anajiongeza kila wakati, amekuwa msaada mkubwa kwenye matatizo yanayonipa wakati mgumu.
Nilitabasamu, uso wangu ukarudi kwenye haiba yake ya kawaida, nilikwenda kituo cha polisi na kufungua ‘RB NO’ ya kesi ya kuibiwa mtoto.
Debora naye akaniambia kila kitu kimeikwisha kamilika, amekwisha mweleza kamanda wa kikosi cha reli na muda si mrefu msako polisi wataanza kazi ya kumsaka Nasra ndani ya treni zote zilizokuwa safarini.
Hata hazikupita dakika 20 Debora akanipigia simu, akaniambia tayari Nasra amekamtwa akiwa Igalula mkoani Tabora, na anasafirishwa kwa treni kuja jijini Dar chini ya ulinzi wa polisi.
“Na mtoto anaye?” nikahoji. “Ndio, amekamatwa akiwa na mtoto wake.” Asubuhi ya siku iliyofutia, Nasra alifikishwa Dar na kukabidhiwa kwenye kituo cha mjini kati, Posta. Niliongozana na mke wangu mtarajiwa, Debora, na kwenda kituoni.
Nasra na mwanaye walikuwa wamewekwa kwenye moja ya ofisi ndani ya kituo. Mtoto wangu aliponiona alinikimbilia na kunikumbatia.
ITAENDELEA KESHO..
Kha yamekua haya
sitaki stress mimi,ukwende tu kwaamaniNisamehe mpenzi
Tuliongozana hadi chumbani mtoto tukimwacha mikononi kwa dada wa kazi. Doreen. “Mke wangu,” nilimwita tukiwa chumbani.SEHEMU YA 28
“Njoo chumbani,” nilimwambia bila kujibu swali lake.
Tuliongozana hadi chumbani mtoto tukimwacha mikononi kwa dada wa kazi. Doreen. “Mke wangu,” nilimwita tukiwa chumbani.
“Bee.” “Ungependa kuona maisha ya mwanao yakishia kulelewa na baba au mama wa kambo?” “Kivipi mume wangu?” “Sikutoshelezi kimapenzi?”
“Mbona sikualewi? “Tupo wanaume wangapi tunaokuvua nguo yako ya ndani?” “Heeee!!!” alihamaki baada ya swali hilo.
“Nakuuliza tena, tupo wanaume wangapi tunaokuvua nguo yako ya ndani?” “Faraji naomba unitake radhi,” akaniambia kwa ukali.
Nilinyamaza nikavuta pumzi, donge zito lilinikaba kooni, nilimsimulia mambo yote niliyoelezwa na daktari.
Habari ile ilimshitua sana mke wangu, lakini bado uso wake uliendelea kuonesha ni kuumbe asiyekuwa na hatia yoyote maishani.
“Faraji kama umenichoka niambie, lakini siyo kwa kunitafutia sababu namna hii” hatimaye akaniambia. “Kukutafutia sababu!!!.”
“Ndio, unanitafutia sababu” “Kwa taarifa yako, hili siyo jambo la kwanza kuelezwa juu ya uhuni ufanyao…” nikasema nikiwa nimemkazia macho.
“Wakati unajifungua ulijisaidia sana haja kubwa kitandani, na madaktari husema hali hiyo huwatokea wanawake wanaojihusisha na ngono *******************.”
Nilimpasualia. “Faraji shika adabu yako” aliniambia kwa ukali. “Sasa niambie ni lini nilikuingia *******************” “Unikome!!” alisema
Nikamchapa kibao. Akabweka kama jibwa koko. Bila kutegemea Akanivaa akiwa amechanua vidole vyake na kuniparua usoni kwa makucha.
Hasira zilinipanda nikamtandika kofi jingine usoni. Kilichofuata baada ya hapo ulikuwa ni ugomvi mkubwa sana.
Songombingo lile likawakusanya majirani ambao walikuja hadi chumbani kutuamulia, mke wangu alikuwa na hasira za mbogo akaanza kupasua vitu vya ndani hovyo.
Wakati huo mwanangu asiyejua lolote alikuwa akilia muda wote. Ghafla ndoa ikawa chungu kama shubiri.
JE NINI KILITOKEA?