Prisoner of hope
JF-Expert Member
- Aug 9, 2017
- 2,440
- 2,575
Kiukweli hii ni best story, kati ya story zote nilizowai kuzisoma kutoka kwako Shunie ....hii story imenifundisha mambo mengi sana, naimani hadi uje kuimaliza....I hope nitakuwa nimejawa na makaratasi kede kichwani.
Hongera sana kwa uandishi mzuri, ama hakika wewe ni mwandishi bora sana....ila pia nasema asante dear Shunie .....naomba ukumbuke, ahadi yangu ipo palepale.
Uwe na siku njema mpendwa.
NAISUBIRIA HII....