bayona_stories
Member
- Apr 19, 2023
- 77
- 124
- Thread starter
-
- #121
Siku moja nilimwomba wife aniitie bodaboda mambo ikawa hivi "Dulla njoo nyumbani mpenzi"
Sikuamini masikio yangu, na yeye akabaki ameduwaa maana alijua kesha haribu.
Kilichoendelea baad ya hapo we acha tu
Dah, hivi ntaoa kweli mim jaman?
HahaaWrite your reply...mtafute price..mpake mafuta mengi alafu mrosti
[emoji23][emoji23][emoji23]Siku moja nilimwomba wife aniitie bodaboda mambo ikawa hivi "Dulla njoo nyumbani mpenzi"
Sikuamini masikio yangu, na yeye akabaki ameduwaa maana alijua kesha haribu.
Kilichoendelea baad ya hapo we acha tu
[emoji1787] maliza uje usomeThank you Shunie.
Nimalize umbea wa ICU nisome [emoji16]
Ningemulia hapo hapo kabla hajakata hyo simu😀Siku moja nilimwomba wife aniitie bodaboda mambo ikawa hivi "Dulla njoo nyumbani mpenzi"
Sikuamini masikio yangu, na yeye akabaki ameduwaa maana alijua kesha haribu.
Kilichoendelea baad ya hapo we acha tu