Simulation gaming videos from Iringa Tanzania

Eurotrack simulator, very addictive game mwanzoni but later it becomes boring.
Ni kweli mkuu unachosema ila ukitaka uinjoi usicheze sana, kwa siku unaweza kupiga safari mbili au moja halafu unatulia. Pia unaweza kudownload ramani za maeneo tofauti tofauti ili kupata experience tofauti tofauti.
 
labda kubadili ramani itasaidia, namie hupendelea njia yenye kona nyingi. Huwa nainjoy kutake over control ya gari zaidi tofauti na njia nyingi ambazo zimenyooka
 
jaribu kutafuta ramani ya indonesia ina kona nyingi na milima pia waweza angalia offroad maps na zenyewe zina changamoto zake.
 
mkuu watumia version gani mi nna v1.5.2.1 mods nyingi hazitaki nikaamia v1.25 ila steering haiko poa...nikarudi iyo 1.5.2.1 ila nna uhaba wa mods aisee
 
me natumia v1.25.2.5 ambayo ni latest. Mod nyingi zinagoma kwasababu hiyo V1.5.2.1 ni ya zamani. Nakushauri tafuta latest version. Steering iko safi tu sema inategememea unatumia gamepad,mouse,joystick au wheel.
 
asante mkuu aisee...nilifikiria sivyo nilidhani 1.5.2 kubwa kuliko 1.25. niliichukulia 1.25 kama 1.2.5 haha
 
Mnaongelea kitu gani hapa wakuu mbona sijaelewa hata kimoja? una control vipi hayo mambo.
Embu tuchambulie mkuu.
 
Msaada jins ya kudownload mods.
Ingia kwenye search engine ya google then andika ETS2 mods halafu utafungua website ambazo zitatokea na kudownload mod unayotaka. Ukishaipata utakopy na kupaste kwenye mydocuments>eurotrucksimulator2> mods. then fungua ETS2 nenda kwenye mod manager fungua activate mod uliyoweka then confirm. mod yako itakuwa inafanya kazi.
 
Back
Top Bottom