So la kwako lilikua na hizo mods au ulidownload na kama lilikua na hizo mod lilikua version ngapi au ilikuaje ikawa na hizo modsdhaa nakumbuka nilikuwa nalo lote na lilikuwa HD nilikuwa na add mod sana kiasi kwamba hadi komputer ili anza kuzengua. ila nilikuja kulifuta
VERSION 1.30.2.2 na mod nyingine nilikuwa na download kama mazingira magari logo za makampuni ya sasa ku pimp gari na mengine mengi tu, yani nilikuwa na enjoy sana sio kidogo nakumbuka nili download msongamano wa magari bwana wee ilikuwa ni noma na ukitoa speed limit ndo usisemeSo la kwako lilikua na hizo mods au ulidownload na kama lilikua na hizo mod lilikua version ngapi au ilikuaje ikawa na hizo mods
Una version ipi kwa sasa?Napenda Euro Truck simulator hasa zile za rough road mwenye hizo mod za rough road naomba
Mkuu naomba hiyo link nidownload hiyo versionVERSION 1.30.2.2 na mod nyingine nilikuwa na download kama mazingira magari logo za makampuni ya sasa ku pimp gari na mengine mengi tu, yani nilikuwa na enjoy sana sio kidogo nakumbuka nili download msongamano wa magari bwana wee ilikuwa ni noma na ukitoa speed limit ndo usiseme
na ramani ya italy
Yakwangu ni 1.21Una version ipi kwa sasa?
Mkuu saiz tupo 1.31Yakwangu ni 1.21
Ni kweli RUS MAP ni poa. Vipi umewahi jaribu FERN BUS Simulator na OMSI BUS Simulator?Euro truck simulator 2 funga kazi..inanoga sana ukiwa na mods...
Unachukua scania S yako unafunga Horsepower 2000
Gearbox unafunga mpya
Nyuma trailer unafunga pullin zile (double traller)
Chini kiatu unafunga michellin moja matata
Sound mod unafunga v8 engines sound..yan hapa chuma kinaachia milusi kama ya fuso zile
Mwisho unamalza na map moja ya urusi yan barabara zmepsuka,bumps zakutosha,milima typ za sekenke na vumbi la kumwaga...
Ets2 inataka mods.
Ni kweli RUS MAP ni poa. Vipi umewahi jaribu FERN BUS Simulator na OMSI BUS Simulator?
mkuu mimi nilikua nadownload pes 2017 nikakwama sehemu wanasema niingize key hapo ndo nilikofeli nikijaribu kubonyeza sehemu walikoandika download wananiambia it is not available for this region naomba mwenye utaalam wa mambo haya anipe mbinu mbadalagta V huchezi na dual core, call of duty za kizamani utacheza.
hujali crack, ulidownload wapi?mkuu mimi nilikua nadownload pes 2017 nikakwama sehemu wanasema niingize key hapo ndo nilikofeli nikijaribu kubonyeza sehemu walikoandika download wananiambia it is not available for this region naomba mwenye utaalam wa mambo haya anipe mbinu mbadala
nimeingia google tu nikaandika pes 2017 ikaja nikawa nadownload ndo ikafika sehem ya kueka izo key ndo nikafelihujali crack, ulidownload wapi?
download toka oceanofgames.comnimeingia google tu nikaandika pes 2017 ikaja nikawa nadownload ndo ikafika sehem ya kueka izo key ndo nikafeli
okaydownload toka oceanofgames.com
mkuu chief nikitumia oceanofgames itakua haihitaji key? kama mwanzo?download toka oceanofgames.com
ukifuata maelekezo haitahitajimkuu chief nikitumia oceanofgames itakua haihitaji key? kama mwanzo?
okay poA mkuUukifuata maelekezo haitahitaji
Hahahahahahahaoceanofgames.com
hii site huwa hata siilink, wapenda games wote wanatakiwa waikariri.