Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 42,405
- 104,816
Basi msamehe tuKuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa

