BIN NUN
JF-Expert Member
- May 23, 2014
- 4,068
- 8,391
Huu ndo ukweli mkuu mwambie asijetaman kurudi wakati jua limezamaKumbuka hakuna binadamu aliyekamilika kama kwa vitu vingine yupo sawa na anavifanya ipaswavyo hebu tuliza moyo wako.
Huu ndo ukweli mkuu mwambie asijetaman kurudi wakati jua limezamaKumbuka hakuna binadamu aliyekamilika kama kwa vitu vingine yupo sawa na anavifanya ipaswavyo hebu tuliza moyo wako.
Siku tatu we umeona nyingi?Ama kweli kizazi hiki ni cha mwendokasi kweli!Yaani fikiria mtu huko busy kutafuta pesa halafu wewe unataka muwe mnachati kwenye simu kila siku?Ni ajabu!Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ???yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani
![]()
Inawezekana kweli bado ajapata mtima wake Ila kwenye mambo mengine mengine yupo perfect tatizo ni Ilo mawasialiano ... sasa najiuliza nimvumilie ??? Nikianza safari nyingine huyo nitakayempata atakuwa na mapungufu yap??? Maana tuna miaka miwili karibia
Mahusiano pasipo uvumilivu utakuwa unaacha kila siku, hakuna binadamu mkamilifu.
Fuata moyo wako mwisho wa siku wewe wamjua vyema.

Wanaume tuna tabia ya kuwa distant once in a while. Its nature. Au anaweza kuwa anaogopa kutendwa. Maana ukizama sana nako kubaya specially kama mvulana akifall too deep kwa mwanamke.Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ???yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani
![]()
. True love doesn't have to be like that. But kwa mtazamo mwingine... Nature na true love havipandi. Huyo kaka anataka kukukeep around, anajua akionyesha sana anakupenda/kukujali utamuacha kwenye mataa. That's what 80% of women do. Mnapendaga wasio wajali. Research held in California University shows that women are likely to break up with caring men than the men who treats them as objects.
Kwel ni kumvumilia na kuzungumza nae nahc wakaka weng wako hvo jaman... As long as umejua hachepuka mvumilie kila m2 ana weakness zakeMahusiano pasipo uvumilivu utakuwa unaacha kila siku, hakuna binadamu mkamilifu.
Fuata moyo wako mwisho wa siku wewe wamjua vyema.
Umeshamjua kuwa hivyo ndivyo alivyo,hafanyi kusudi au kukudharau, ishi nae kama alivyo. Ukipenda boga penda na ua lake.Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ???yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani
![]()
Acha hizo wewe.mchoyo huyo muache .. mtu mchoyo hata mawazo tu hata salamu pyuu kazi unayo alikutongozaje?
huyu ni mchoyo sanaAcha hizo wewe.
Binafsi siamini ktk mapenzi ya kuigiza. Nakubali na natambua umhimu wa mawasiliano, lakini siyo kila mara tunafuatiliana kama watoto wa shule. Yako mambo mengi ya kufanya na muhimi ktk mapenzi. Huduma unapata? Mahitaji ya msingi si unapata! Jamani tuhurumieni wakati mwingine, mwanaume wa kweli anamzigo mkubwa wa kuhakikisha familia yake kama ipo/ijayo inapata maisha mazuri na kutengeneza ziada kwa ajiri ya kesho. Mimi ni mmoja wa watu wa aina hiyo, nashukuru ilifika mahali mke wangu akanielewa. Kama huyo mpenzi wako hakusaliti, basi mchukulie jinsi alivyo, vinginevyo utapata ambae mawasikiano ni 24hrs halafu mambo mengine ambayo ni ya msingi kuliko mawasiliano iwe zero.Mtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.