Simuelewiii huyu kaka

Simuelewiii huyu kaka

Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa
Dada unafanya kazi gani na yeye ana kazi gani
 
Kuna watu sio wazuri kwenye mawasiliano mfano mimi ni mmoja wapo kuwasiliana na mtu ni kazi kweli labda niwe na shida ya muhimu sana.

Mjenge awe mtu wa kuwasiliana na wewe ila mimi nimeshindikana kabisa simu yangu ni Rafiki wa kunipa habari sio kifaa cha kuwasiliana na watu.
 
Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa
Sasa ulitaka akukubalie suala la kuachana? anakuona demu wa kuzugia ujue! bado hajakuweka moyoni sijui upo kwenye figo, anaona bure uendelee kuwepo wakati anatafuta kidani cha moyo wake wakati huo kwako anapunguzia nyege tu.

shtuka mkuu unatumika tuu
 
Je, ni nini mnawasaliana??
Isije kuwa kila siku asbh ni 'hi' hi too, lazima itaboa, na hata hiyo tabia ya kumlazimisha nayo inaboa sana kama hamjui.

Mtu anaweza kuwa amejisahau, halafu ww unakuja, unamlaumu weeeee, hata akikutafuta anakuwa anatimiza tu wajibu basi.

Kuwa mbunifu, kuwa na mada zitakazomtia hamu ya kukutafuta mara kwa mara, awe rafiki yako kwanza, so mambo ya fb, insta, kazini kwenu, kwao, story za mashamba, mpira nk..., msome mtu, uone ni story zipi zinamkoleza...., then nenda na beat.

namkumbuka x wangu flani, nikijikuta sina la kufanya na nataka kucheka, nampigia tunafurahi weeeee.., yaani hakuna anayemsukuma mwingine.


Hata ukiona siku hajakutafuta, ukimchek usimwulize kuhusu hilo, we zungumza mengine tu, then basi.

Nitaendelea....
 
Mawasiliano ndo huchochea upendo, kama mawasiliano yanafifia na upendo nao unafifia...
We ndo uwe una mpigia mara kwa mara
 
Tusiwe watumwa wa utandawazi, na pia uungwana ni kutambua utofauti baina ya watu: ukilijua hilo halikupi tabu. Na zaidi ya yote upendo haupimwi kwa kigezo kimoja tu cha mawasiliano ya mara kwa mara.
 
Kazi kweli kweli hapo tu hamjaoana na stress na familia bado sasa mkishazaa watoto na stress za magu itakuaje umo ndani ya nyumba? Kupanga ni kuchangua na akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Back
Top Bottom