Simuelewiii huyu kaka

Simuelewiii huyu kaka

Kama pesa unapewa vunga nae tu si ndio mnachotaka kuliko vyote... Maana wengine tunatoa ushirikiano kote kwa 100% full caring + ududu wa ela yote ila pesa ndo mtihani, siwezi kukupa kila unapohitaji ila napokuwa nayo tu!
 
Kuna kipindi nilimwambia kabisa mapenzi haya mie siyawezi akaniambia nimvumilie atabadilika taratibu na kuniomba msamaha .... nikimwambia tuachane yani neno ambalo hataki kulisikia kabisa
Hahaaa! Vipo vya kuachana ila sio hicho kama ameshajua na akakwambia umvumilie atabadilika nenda naye taratibu pia nawewe usiwe mtu wa kukata tamaa mkumbushe mara kwa mara nadhani hata kama hatobadilika 100% ila kwa kiasi fulani inawezekana.
 
Kumbuka hakuna binadamu aliyekamilika kama kwa vitu vingine yupo sawa na anavifanya ipaswavyo hebu tuliza moyo wako.
mwambie huyo,hii hali ni ya kawaida tena mimi ni mmoja wapo! bora hata huyo anakaa siku 3 wengine hata wiki mwezi kawaida,nimekuwa muhanga wa kulalamikiwa lkn wameshanizoea kama ni voda nina shida na dk 5 nikinunua 15 ntatumia tano kwa mtu 1 ambae nashida nae hizo nyengine zinafiamo! hichi kitu sijui kinasababishwa na nini! lkn ajue tu kuna watu wa dizain hiyo!
 
..so far kwa maelezo yako nadhani unamuelewa kiasi cha kutosha kumuelewa..
 
hilo sio tatizo sababu hata mimi hiyo hali ninayo... bora huyo hapokei.. mi nazimaga kabisa simu yenyewe... hii inatokea tunakuwa na mawazo mengi kichwan kiasi kwamba sipendi bughuza kutoka kwa yeyote yule... sio tatizo mamy ni mawazo ya kimaisha tu..!!!
 
Wewe ndio Utakayemfanya A change Ckia Komaa Tu Anza Sasa for 4Month kama UnAmpenda Kweli jifanye Mjinga Every Day Morn, Mchana, Usiku Usiache kumpigia Dhen ukimaliza Hiyo Mission Kausha Kam hatobadilika Piga Chin
 
Hapana ni mwanaume ambaye anapenda sana kuhudumia familia yake kwa kweli anajitaidi sana .... ila tatizo ni mawasiliano tu
Familia yake?? mmeoana, au unasemea baba na mana yake? Au nd ushajihakikishia na ww ni part ya familia yake,,, jiangalie dada usije kurud humu Jf unalialia tena kujipa uhakika hivo ni vbaya unless ni mume halal wa ndoa
 
Kila mtu na mapungufu yake,mchukulie kama alivyo kwa kuwa hakusaliti
 
Happy Easter Jf
Naombeni kuuliza? Hivi unawezaje kuishi na mwanaume ambaye ana tatizo la poor communication? ??? yani anaweza kukaa hata siku tatu asikujulie hali na hata ukipiga simu Mara nyingine hapokei ?? Nilimfatilia na kuhisi ana mwanamke lakini wapi ?? Hana mwanamke na Ilo tatizo sio kwangu tu hata kwa marafiki na ndugu wanalalamika pia , mie mpenzi wake swala hili linaniumiza haswa naombeni msaada jinsi ya kuishi na huyu kiumbe jamani
Hiyo hali ni sasa tuu au tangu muanze safari yenu ya mapenzi? sababu its not normal kwa mwanamme itakua amekuchoka au alichotarajia kwako hajakikuta au kuna alie kuzidi,na usijilinganishe wewe na rafiki na ndugu wewe ni mwanamke wake
hao wengine hawampi unachompa.... ningekua wewe na mie hata number yake ningefuta...
 
Mimi pia nadhani Nina tatizo hilo, sijivunii maana huenda likawa sio sifa njema ila ujue tu kuwa kuna watu wa aina hiyo! Mvumilie tuu! Mimi nilishaachwa na wachumba zangu wawili kisa simpigii Simu Mara kwa Mara, yaana napiga pakiwa na swala nyeti la kuzungumza nae,
 
Mtu ambaye yuko moyoni huwezi pitisha siku bila kumjulia hali, Dada muwe mnajiongeza kiakili.
Atakuwa hana salio au chani. Tatizo hilo ni la muda tu. Mkioana mtalala na kula pamoja shda itaisha.
 
Jizoeshe kumtafuta kila mara halafu baada ya muda kaa kimya kwa kuwa amezoea wewe kumtafuta kila mara ukikaa kimya atakuwa anakutafuta. If that won't work then know there is something behind that relationship. Work on that
 
Hayo siyo mapungufu waafrika simu tunazitumia vibaya je simu zisinge kuwepo kusingekuwa na mapenzi ya dhati nyinyi msemao kuwasiliana ovyo ovyo ndo mapenzi mkumbuke hayo ni mambo ya mitandao ya kisasa Leo simu simeshusha sana thamani ya wadada kwa kupiga mizinga hovyo kwa sababu ya wepesi wa kutuma pesa .huyo jamaa hana tatizo lolote ila tatizo unalo wewe mdada kumbuka bila simu ungeweza kuwasiliana naye kila siku?
 
Inawezekana kweli bado ajapata mtima wake Ila kwenye mambo mengine mengine yupo perfect tatizo ni Ilo mawasialiano ... sasa najiuliza nimvumilie ??? Nikianza safari nyingine huyo nitakayempata atakuwa na mapungufu yap??? Maana tuna miaka miwili karibia
Hii ndo point sasa huo ndo ukwel hata ukimuondoka bado hakuna mtu kamili ambae utaenda mpata
Tena unaeza pata mtu akabadilika adi ykamkumbuka huyu
Kama anatoa huduma vizur wee mwanamke banah sisi wanaume tukifanyiwa vitu flani flan huwa tuna kaudhaifu so tumia mbinu hizo kumjenga wazo la safari litoe
Usije ingiwa na sentensi ngelijua ngelibaki
 
Back
Top Bottom