The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
Huyo ni mtu mstaarabu sana sababu hapo ni kwako sasa akikurupuka mpaka jikoni wakati hajakaribishwa ungesema anakuingilia!!!!!!!
Either ways wewe siku ya tatu tu ushaanza mpaka ku post huku, je angekuja mgonjwa kukaa hapo mwezi mzima!!!????
Kwanza wewe mtu wa kazini so hushindi hapo kazi anafanya dada labda sasa wewe nini taabu yako!!!!???
Leo wkend kesho sikukuu muamshe mwambie mwende sokoni mkanunue vya kununua na mkija fikia naye jikoni mpe nyanya muombe akusaidie wakati wewe unafanya mengine then anzisha story kuwa uko happy kwa ujio wake sababu sikukuu mtapika vyakula mbalimbali kwa kushirikiana, mtamaliza mapema na ku enjoy.................
Sikuhukumu ila ni kama hupendi ndugu wa mume au una ghubu flani kama sio mvivu..........ungekuwa mke wangu ningekuchana live!!!!!
Ha ha haaa eksipiriensid .....................
Kaka sababu nao wanachagua basi we hakikisha una vigezo husika tu.
Inafanyika hiyo kazi kaka umakini tu !
Heshima ikurudie pia kaka....!!!!!!!
Kaka ambao hamjaoa ombeni sana mpewe wake wema waliojaa busara !!!!!!!
Brother shikamoo!!
Asomaye na Afahamu.
Huyo ni mtu mstaarabu sana sababu hapo ni kwako sasa akikurupuka mpaka jikoni wakati hajakaribishwa ungesema anakuingilia!!!!!!!
Either ways wewe siku ya tatu tu ushaanza mpaka ku post huku, je angekuja mgonjwa kukaa hapo mwezi mzima!!!????
Kwanza wewe mtu wa kazini so hushindi hapo kazi anafanya dada labda sasa wewe nini taabu yako!!!!???
Leo wkend kesho sikukuu muamshe mwambie mwende sokoni mkanunue vya kununua na mkija fikia naye jikoni mpe nyanya muombe akusaidie wakati wewe unafanya mengine then anzisha story kuwa uko happy kwa ujio wake sababu sikukuu mtapika vyakula mbalimbali kwa kushirikiana, mtamaliza mapema na ku enjoy.................
Sikuhukumu ila ni kama hupendi ndugu wa mume au una ghubu flani kama sio mvivu..........ungekuwa mke wangu ningekuchana live!!!!!
Nadhani atakua na miaka 20 na kitu hivi. Ni mwalimu wa shule ya msingi hajaolewa bado
Wifi yangu amekuja juzi. Ni dada wa mume wangu. Alipofika sikuwepo nilikua kazini. Nilipofika toka kazini nikamkuta amelala. Nikamsubiri alipoamka akaja tukatambulishana tukaendelea na maongezi. Jana siku ya pili kaamka kaoga kawasha tv, akitoka anaenda kulala. Anaamka anakula anarudi kulala. Leo siku ya tatu ameamka mapema tu ameoga karudi tena kulala. Mwenzenu Simuelewi huyu mwanamke mwenzangu hata mlango wa jikoni haujui. Nimekua kama nina waume wawili. Kuolewa kuna shida wenzangu.
Many thanks Mkuu.
Tuna bahati ya nyie mliotutangulia na Mna hekima, Uzoefu wenu ni nguzo yetu pia kwa upande mwingine.
Nakushukuru Kaka.
Acha udhalilishaji wewe..walikufuta kamasi hao leo hii unawatukana hata haya huna.......kwa taarifa yako hakuna watu wenye busara na wanaojua kushi na watu kama walimu....shika adabu yako
Umemaliza kila kitu mpendwa...unafaa kuwa mshauri nasaha..nimezipenda busara zako OLE SAIDIMU
Mpuuzi sana wewe... yaani umeniharibia siku... m×@#×=$÷×$@@&
Mupendhi nimecheka sana. lols.