Simuelewi mpenzi wangu

sugi

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
1,392
293
Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri
 
mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri

kama hujui kusoma,hata picha angalia.
 
Halafu kwanini siku zote mtu ambaye unachat nae unamuona bora kuliko ulokuwa nae au ndo mashamsham ya mwanzo loh....

ni masham sham aisee huwa YANAKONGA moyo tu........

Mie kuna kijana huwa nachati nae aisee huwa ananikonga roho yangu....sio kwamba nimetoka nae hapana

ila its the kind of Person you can rely ON.........
 
Mhh Muke ya Muzungu i can smell somethn hapa..
 
Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri

yashawahi kunikuta hayo kuwa makini sana naye otherwise ...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom