Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Mhh Muke ya Muzungu i can smell somethn hapa..
hahaaa PLL what are u smelling...........niwache muke ya muzungu bana.........
Mhh Muke ya Muzungu i can smell somethn hapa..
mimi49 umenisifia hapa usije kunifanya nianze kutiririka mengine ya moyoni lol!!!!Halafu mi Heaven on earth nakupendea hapo tu you speak whats on your mind...
Inshallah.. usiku mwema shost...mimi49 umenisifia hapa usije kunifanya nianze kutiririka mengine ya moyoni lol!!!!
ngoja nikalale mie nna usingizi tuonane kesho Inshallah.......
Mpenzi wangu anatumia mudabmwingi kuchat na simu,kwenye simu yake ana meseji,nyingi zikiwamo za wanaume,ambao ni watumishi wenzake,majina kama dia,mpenz, na mengineyo ndio wanayatumia kuitana kwenye meseji hizo,nikimuuliza anasema ni marafiki wa kawaida tu,na hii huwa chanzo cha ugomvi wetu,nifanyaje jamani?naombeni ushauri
hayo hayo maneno.........si ulale wewe mwanaume lol!!!!!!
Mie kuna kijana huwa nachati nae aisee huwa ananikonga roho yangu....sio kwamba nimetoka nae hapana
ila its the kind of Person you can rely ON.........
Mhh!!!!!!Mentor nakusubiria ujue
Mbona nimeachwa njia panda?😱hwell:
Hapa nadhani ndio kijana Mentor allikuwa anakaribia karibia....ngoja Mentor aje akupe direction ........
Mh wewe na Mentor mna agenda gani ya siri?😕
ngoja nikalale mie nna usingizi tuonane kesho Inshallah.......
Inshallah.. usiku mwema shost...
Mhh!!!!!!Mentor nakusubiria ujue
Mh mtu akiwa na mpenzi lazima ajiheshimu ataitaje wanaume wengine sweety,honey,asali wa moyo,barafu ya roho,darling haitakiwi hayo yapo reserved spesho kwa mupenzi....
Ha ha ha watu8 wewe!!!mi hata sijui kuisoma alama za wakati lohMentor nakuonea wivu...usisome maneno hebu fikiria sauti nyororo yakuambia hayo maneno....manshallah wakubwa mnafaidiii!!!
We huna wa kwako? na mwaka huu lazima upauke si unajifanya hutaki mai namu yako ibadilishwe na kuitwa dia, dalingi, switi.....
Hapa nadhani ndio kijana Mentor allikuwa anakaribia karibia....
Hivi sijui huyu mpwa wangu ni msoma ramaniiiii...naona ndio anasubiriwa kutoa daireksheni...
Yaani badala ya kuelewa ndio kwanza unapata breini konkasheni....watu wanaenda kuitana dia na switilavu hivyo....we subiriii
mimi49 ndio ukaagwa kidiplomasia hivyo...
Hatimaye ukanyoosha mikono....kwa shingo upande ukaaga
mhh Mentor dawa yako inachemka bado kunywewa tu!!Sweetheart...wifiyo alinbana...nakuja leo lakini....
Hun ni kuonesha tu upendo ulonao kwa rafikiyo...ofkozi, Agape kind of love.
Aiseee....wacha weeee!!! na wewe huwa unaikonga roho yake?
Mentor unajua hayo maneno sweetheart ndio yamemchanganya mleta siredi!!!!Sweetheart...wifiyo alinbana...nakuja leo lakini....
Hun ni kuonesha tu upendo ulonao kwa rafikiyo...ofkozi, Agape kind of love.
Mentor nakuonea wivu...usisome maneno hebu fikiria sauti nyororo yakuambia hayo maneno....manshallah wakubwa mnafaidiii!!!
We huna wa kwako? na mwaka huu lazima upauke si unajifanya hutaki mai namu yako ibadilishwe na kuitwa dia, dalingi, switi.....
Hapa nadhani ndio kijana Mentor allikuwa anakaribia karibia....
Hivi sijui huyu mpwa wangu ni msoma ramaniiiii...naona ndio anasubiriwa kutoa daireksheni...
Yaani badala ya kuelewa ndio kwanza unapata breini konkasheni....watu wanaenda kuitana dia na switilavu hivyo....we subiriii
mimi49 ndio ukaagwa kidiplomasia hivyo...
Hatimaye ukanyoosha mikono....kwa shingo upande ukaaga
prove...You trippin' young man.
She ain't doin' anything wrong.
They're just her friends.
Ya nani tena mbona BLOOD PRESSURE yangu imepanda ghafla na mapigo ya moyo yameongezeka,nimepatwa kama na kajiwivu fulani hivi....Sijui kama huwa naikonga nyoyo yake.......ila mie ya kwangu anaikonga sana tu........