Simuelewi mpenzi wangu huyu

Haumfanyi ipasavyo mtoto wa watu ndio maana hata hakusifii na hapo umefanya kosa kubwa sana ulitakiwa uongeze juhudi ili siku moja akusifie na kwa mtindo huo utawaacha wengi
Hili halina uvumilivu Honey Faith
 
Last edited by a moderator:
Don't make any decision based on assumptions kiongozi.. Chunguza na ujiridhishe maana u never know anaweza kuwa ni ex wake aliemkata seal miaka kadhaa iliopita..
Inawezekana Mkuu sosoliso , lakini tayari nimejitoa.
 
Last edited by a moderator:
aaaah! shiii! juice ya embe ya barid inapatikana wapi kwa hapa dar?
 
Mi mkali, ila inawezekana mwenzangu alikuwa alikuwa anamkandamiza 0713....

nawe si ukanamize kama unataka kuitwa? wewe mvivu kitanani mkuu hajakukubali.
 

bombom inawezekana akitaja muddy anamanisha ni wewe. Je ulishawahi kumuuliza muddy ni nani akakuelekeza????
 
Last edited by a moderator:
bombom inawezekana akitaja muddy anamanisha ni wewe. Je ulishawahi kumuuliza muddy ni nani akakuelekeza????
Bonny na Muddy ni majina tofauti sana Mkuu Bill
 
Last edited by a moderator:
Namalizia kiroba cha 4 hapa kaunta nitarud hapa baadaye ku-comment,,,esCRoW bado inaniumiza kichwa mgao sijapata!
 
Bonny na Muddy ni majina tofauti sana Mkuu Bill

Mkuu bombom kama hiki unachosema ni kweli na umefuatilia ukagundua huyo Muddy ni real, basi usiendelee mbele na ndoa. Hili litakutesa maisha yako yote na utakuja kujuta milele kwani hiyo ni dalili tosha huyu na muddy bado dam dam na amekuja kwako tu baada ya kumkosa Muddy. Nikupe mfano, miaka ya nyuma, nilikuwa na demu, siku moja baada ya kumaliza majambo akatamka "Sasa God mimi wacha niende maana muda emeenda sana". Nikamuuliza "Nani God hapa". Akayeyusha na mimi nikakausha. Siku nyingine tena akajichanganya anakatamka the same. Nikamchenjia hadi akanambia huyo God ni nani, kumbe ni mshikaji na rafiki yangu tu. Nikamwambia poa. Mimi sikuwa muoaji lakini nikaendelea kujipigia mzigo kumbe na God nae anaendelea kujichapia mzigo japo yeye alidai ameachana nae. Nilipojiridhisha God bado anapiga mzigo mimi nikaachia ngazi.

So, ACHANA NAE hakufai huyo mkuu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…