dogo una haraka sana wewe!
ulikuwa hujawahi kugegeda hapo kabla? eenh!
kutongoza hujatongoza, unataka ugegede?
by the way, uwe mwangalifu!
ha ha ha ha jamani alafu wakati wa kumpa unatoa huku unasmile
LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.
Na cha zaidi ni kwamba sio kila urafiki lazima uwe wa kugegedana. Urafiki mwingine ni wa kubadilishana mawazo tu.
Kwa mkwara unamwambia kwangu hesa si kitu... hela kitu gani bwanaaaaa... kumbe angejua ulivyojeruhika moyoni.. angekimbia walahi!
Bwahahahahhh!mkuu dogo naona anaogopa pesa zake zinavyotimka halafu hasemi chochote! yeye anataka friendship for benefit!
ukitaka ubaya.....
Bwahahahahhh!
Kaazi kweli kweli. Ukute kamkopa mtu huo mshiko, kamtoa lunch demu na demu kagoma kugegedwa, shida inakuwa hapo. Enzi za ujana sisi wengine inatokea unanunua hadi chumba kwenye nyumba ya wageni na demu anagoma kugegedwa vilevile, na kama ujuavyo huwa gesti hawarudishi mshiko. Unasamehe tu yanaisha.
au unamuuliza mama unatka nini tena ..... anajibu nataka laptop ile ya miliion mbili plz baby .... alafu anaunganisha u know i love u so much
au unamuuliza mama unatka nini tena ..... anajibu nataka laptop ile ya miliion mbili plz baby .... alafu anaunganisha u know i love u so much
Toa hela.
au unamuuliza mama unatka nini tena ..... anajibu nataka laptop ile ya miliion mbili plz baby .... alafu anaunganisha u know i love u so much
kudadeki! Himidini alishakataa hizi policy! yeye sijui anatumia mbinu gani kuwagegeda watoto wa watu!
ngoja aje!
Ishia hapo hapo.... Mpaka hapo hivi natafuta nini lakini????????????????????
anaunga na hii...........Jaman tony touch buubu say yes
LAKI mbili hivi hivi naiona....... labda isiwe ya jasho langu.
unatafuta papuchi
Aende nayo tu.... siitaki hata kwa nazi
unao hela, patie yeye matumizi, kuja na jibu next week.