Simuelewi kabisa huyu mdada!

Simuelewi kabisa huyu mdada!

fkawogo

Senior Member
Joined
May 30, 2013
Posts
131
Reaction score
37
Wadau wote natumaini mnaendele vema.

Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana.

Nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini.

Kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede.

Wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki.

Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu.

nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini?

Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lakini yeye hataki nikimtongoza hataki.

Mawazo yenu wadau.
 
Wadau wote natumaini mnaendele vema. Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana. nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini. kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede. wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki. Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu. nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini? Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lkn yeye hataki nikimtongoza hataki. Mawazo yenu wadau.

dogo una haraka sana wewe!

ulikuwa hujawahi kugegeda hapo kabla? eenh!

kutongoza hujatongoza, unataka ugegede?

by the way, uwe mwangalifu!
 
Wadau wote natumaini mnaendele vema. Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana. nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini. kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede. wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki. Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu. nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini? Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lkn yeye hataki nikimtongoza hataki. Mawazo yenu wadau.
da! pole sana ila punguza mchecheto vitu vizuri havitaki haraka vuta subira ila kua makin inaonekana money oriented
 
nipe namba yake ya simu nimuulize kama unayoyasema ni kweli
 
wewe dada usimkubali haraka huyu kijana plz nakuomba
 
She is playing da game of “hard to get“
Eventually u will get her..
Kama utakua unajua namna ya kuucheza....basi atamgegeda tu.
 
Isije kuwa kakuona hujakauka maziwa? Maana mabinti wa huku ni too decent...
 
Labda mwenzio anataka uwe rafiki tu wakawaida wewe unawaza ngono.
 
mmmh!kwani mawasiliano ni lazima awe mpenzi wako!analalamika usipowasiliana naye kama rafiki tu wa kawaida!
 
wadau wote natumaini mnaendele vema.

Jambo linalonifanya nijekwenu leo ni kwamba, kwa mara ya kwanza toka nijiunge na jf nilikuwa sijapata rafiki wa kuwasiliana mpaka kukutana.

Nilikuwa napata wakuwasiliana tu maana wengi walikuwa ni wa mbali lakini.

Kama wiki mbili hivi nimebahatika kupata msomi wa chuo kikuu, nikweli tulikutana tukala kuku na kunywa, sikuwa na haraka ya kumtongoza ili nigegede.

Wiki imepita sasa kila nikimtongoza anakataa katakata hataki.

Lakini nikikaa kimya bila kuwasiliana nae hata saa moja analalamika na kutuma sms nyingi kunilaumu.

Nikitaka awe mpenzi wangu hataki sasa wadau hii nini?

Maana mi naumia ndomaana naamua kukaa kimya ili nipotezee lakini yeye hataki nikimtongoza hataki.

Mawazo yenu wadau.
mjomba ukiona manyoyaa...yawezekana she love chat friend sio kimihemuko....tulia njia kuu...chunga michepuko
 
Hahaaa.. nahisi nikishindwa kujizuia nikampa... nitaenda kujifungia mahali nilie hadi nitoe hamu. japo mwanaume haliagi.

ha ha ha ha jamani alafu wakati wa kumpa unatoa huku unasmile
 
Back
Top Bottom