belinda john
Member
- May 5, 2015
- 34
- 28
Habari zenu wana JF,
Naombani ushauri wenu,
Nina rafiki yangu wa kiume nimedate nae kwa miezi kadhaa sasa, tunaendelea vizuri kwenye mahusino tatio linakuja kwenye sex life yetu, sijui ni anapendelea romance sana kuliko sex ama sielewi. Ila nilivyomuuliza alisema anapenda vyote he is good in romance na tukifanya romance anadinda kabisa na anachafua mpaka suruali ila sasa tunaishia kuromance tuu hatuendelei kwenye kugegedana, sielewi tatizo ni nini?
Kwa mara ya kwanza tulijaribugi kufika mbali ila gari lilishindwa kupanda mlima nikamuuliza nini tatizo akasema haelewi kipi kinatokea sababu kwenye foreplay kitu kilikuwa tayari kimesimama kabisa. Nilivyomuuliza akasema haelewi labda amechoka,i nshort nilihisi labda ndio matatizo ya nguvu za kiume maana binafsi najiamini na najiamini sababu nilikokwisha kupita hadi leo wanatakaga warudie mchezo na mie ila sielewi kipi kitatokea na huyu mtu mpya wangu.