Simuelewi huyu mwanamke

Simuelewi huyu mwanamke

Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.

Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.

Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Hahaha... You requested for madness.
And so this is madness.
 
may be there is a solution toyur problemkama ni la kisaikolojia......ila akikuganda ndio inakuwaga hivo au anataka aku enjoy tu au anajua kuna benefit flani
 
Mhu halafu anasema bado anamfuata. Ningekuwa mimi naacha anipigie halafu napokea ila siongei naye ili amalize salio. hahahahaha. Mawazo ya kibibi hayo.
Hahahaah kwa kesi ya huyu jamaa si atajiua akifanyiwa hivyo
 
Kama ulizaliwa husimamishi ilo ni tatizo kuu ila kama ulikuwa unapiga mzigo afu ikasinyaa natumai utapata ufumbuzi fasta na kuongia kwenye chama chetu cha kupiga mzigo
Nikuombe tu ilo la kutokusimamisha ulifanye liwe ndo tatizo kuu maana ikisimama uyo mrembo nitakusaidia uachane naye
 
Pole mkuu...naomba no yake nimkanye asikusumbue tena
 
Mkuu nijibu swali moja...
Wewe ni mtu mwenye uwezo kifedha?? au kwenu umotokea familia ya kishua..?? yani mnajiweza kwenu>??
Nikipata jibu hili ntakupa ushauri
 
Kwan kumridhisha mwanamke kunahitaji dushelele tu,
Situngeshindwa hata chepuka kwa minajili hiyo, manake kuna siku unachepuka na unatifua kweli ukirudi home napo wife anataka mchezo
unless umeprove husimamishi kbs otherwise tatizo lako linatibika na for the time being tafuta njia mbadala ya kumridhisha mwenzi wako
 
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.

Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.

Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
Unachekesha mizimuu...
 
acha uboya mkuu, fanya juhudi upate ufumbuzi wa tatizo lako
 
Labda ameweka matumaini kuwa utapona siku moja, nawe uwe na matumaini hayo, unaonekana kama umekata tamaa, badili fikra zako utapona.
 
Kwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.

Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.

Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
BONYEZA HAPA CHINI
DAWA YA KUONGEZA NA KURUDISHA NGUVU ZA KIUME KWA ANAYETAKA!

vpills-gold.jpg
 
mkuu kama unapenda kumaliza hilo tatizo naeza kupa namba za rafifki yangu ni mtaalam kawasaidia wengi tuu....kama upo tayari njoo pm..am seriuos
 
Hebu ni pm nikupe ufumbuzi wa tatizo lako, ila uje kama ulikuwa unasimamisha awali.
 
nikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!

Sasa utaishi na hali hiyo mpaka lini,?
Mbona wapo wataalam wengi wa matatizo hayo? Huyo binti anakupenda kweli ndiomana ameshindwa kukuacha, nahisi hata yeye anaimani siku moja utapona hali yako, tatizo wewe hujaweka jitihada zozote za kutatua tatizo.
Kuwa kama mwanaume bana,kama unampenda usimwache, mshilikishe ktk kutatua hilo tatizo na muendelee na maisha.
 
Mhu halafu anasema bado anamfuata. Ningekuwa mimi naacha anipigie halafu napokea ila siongei naye ili amalize salio. hahahahaha. Mawazo ya kibibi hayo.
Mjanja wako akikufanyia kama unavyowaza kuwa ungemfanyia jamaa utajisikiajeeee!?
 
Back
Top Bottom