Taken!Basi endelea na msimamo wako tu. Baada ya muda atachoka, na kuchukua njia yake.
Mkuu samahani,hivi umewahi kuwasiliana na mshana jr? Kama bado fanya hivyo tafadhali. I know him,he can do something better for you.nikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!
Umeshaeleweka mkuu, USIRUDIKwanza nikiri kuwa mimi ni mwanaume ambaye ni muhanga wa nguvu za kiume, na kutokana na tatizo hilo niliabika mara kadhaa huko nyuma hivyo binafsi nikaamua niwe single mpaka nitakapopata ufumbuzi wa tatizo langu.
Nikiwa katika kusubiri huko ndipo nikakutana na huyu dada ambaye tulikuwa marafiki tu mwanzoni lakini baadae akanifungukia kuwa ananipenda na anataka niwe mpenzi wake, mwanzoni sikumtilia maanani lakini baadaye nilikuja kujua kuwa anamaanisha, nilishindwa kukubali kuwa naye kwa kuhofia kumdissapoint ikabidi nimwambie tu ukweli kuwa nina tatizo a b c, alilia sana siku hiyo kisha akanambia nakupenda hivyo hivyo ulivyo, nikaguna tu nikakausha.
Kiuhalisia sikuweza kumtimizia mahitaji yake ya kimwili hivyo nikatumia tu ujasiri nikamwambia najua wewe ni binadamu na hutokaa hivyo siku zote hivyo ukijisikia genye tafuta mtu akukune lakini nisijue maana itaniuma tu kwa vyovyote, akakataa katakata nikajua tu nadanganywa. Baadaye nikafahamu yupo na mtu nikamuuliza akakubali niliumia sana, narudi.
hahahahahahahahaMziziMkavu njoo huku kuna mteja.
haisimami sawa mkuu, najua nitakuwa sawa lakini hapa tatizo ni huyu mrembomkuu pole sana......hao hata ukiwa rijali ni wasumbufu tuuu.... twende kwenye tatizo lako kaka, umeenda kwa wataalamu wakakuambiaje.???... inuka utafute tiba mkuuu...tatizo ni huna nguvu au haudindishi....kuna wataalamu wanaweza hayo ...ni wewe mwenyewe kujibidiisha tuu.
Ahsante!POle sana mkuu!!!!
MKUU labda ameona kitu kwako maana cku hizi maisha ni magum sana..nkushauri tu km umeshaona kwa mda huu huwez kmtimizia mahitaj mwanamke wala usijihangaishe kuwa na mahusiano ya kazi gan mkuu?we jali mambo yako ona sasa umemwambia mpk matatizo yako unajuaje kama atakutunzia siri zako?maana hapo unaweza kuwa mtumwa kwake ili tu akufichie hyo siri uliomwambia........endelea na maisha yako mpk utpopata ufumbuz wa tatizo lako kama ulivyopanga awali usiruhusu mtu akuharibieplan zako bila mpangonikamwambia nilishakupa ruhusa ufanye mambo yako lakini mdogo mdogo nisijue sasa mbona imekuwa hivi tena, nikamwambia basi kama vipi wewe endelea naye tu isiwe tabu maana jinsi hii nitakuwa nalia kila siku kitu ambacho sikitaki, akalia sana, akampigia huyo bwana wake na kumwambia kuwa hamtaki hapo mbele yangu, nikamwambia hiyo zuga tu lazima uwasiliane naye tu, kiufupi nikaamua kukata mawasilino naye, lakini sasa amekuwa kero, kila wakati ni simu..sms muda wote, sasa sifahamu anachotaka kwangu ni nini wakati anajua siwezi mpa anachotaka, namshangaa na sijamuelewa nimemuambia endelea na maisha yako!
nakutafuta soonWell said Paulo Sergio De Souz..salute kwako brother. I hope kaka yetu onetime will take a good note of your brotherly advice. Pole sana onetime ...ukiwa na wasaa tunaweza privately kubadilishana mawazo zaidi kuhusiano na tatizo lako
haisimami sawa mkuu, najua nitakuwa sawa lakini hapa tatizo ni huyu mrembo