Simuelewi huyu msichana

Markberry1555

Senior Member
Joined
Jan 6, 2019
Posts
147
Reaction score
164
Huyu dada nimetokea kumpenda, ila anasema yuko form six now, lakini kwenye mitandao ya kijamii hakauki.

Nimemuuliza jana mbona kama uko nyumbani sio shuleni. Anasema anaumwa Anaemia, kaenda Muhimbili kupewa matibabu na yuko home anameza dawa.

Sasa cha kushangaza anasema Anaemia yake anatibiwa Muhimbili tu. Nikimuta njoo nirambee, hataki visingizio kibao ila hakauki kuomba pesa.

Nisadieni wadau huyu msichana anamaanisha nini? Ananipenda kweli?
 
Mkuu unataka urambe mgonjwa!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia asije akakufia kijana. Huo ugonjwa ni nouma. Akifika kileleni unaweza kuamka na kitu kikaishia hapo. Utakumbuka ule wimbo wa Kafia geto.
 
Huyo hasomi anaandaa kibomu, jiandae kupigwa vizinga na papuchi hauioni.
 
Demu akikwambia anaumwa, ujue anataka pesa, kashindwa kukwambia nahitaji pesa tu.
 
Sioni saikolojia inaingiaje hapo au ulikua unatafuta namna ya kutumia hilo neno?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…