Umeonae.. huyo si wako potezea kabisa, hata huyo jamaa namuonea huruma sana, nae anaweza kulizwa hapo2 chuo.mkuu umenena demu kanikaushia tangu jumamosi kwa sababu nilikuwa sina pesa za kumpeleka kwenye party na badala yake akatoka na msela nkaja kuambiwa
acha ubishi mpigamsulilakini mapenzi ni ya muhimu manake nilikuwa nataka kutengeneza future naye
Pole ndugu. Ni wachache sana wanaonzisha future vyuoni, mtakuja achana tu somewhere.. mke wako yupo na humjui lakini huyo siyeee....lakini mapenzi ni ya muhimu manake nilikuwa nataka kutengeneza future naye
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Wewe ni zoba.
kwa id yako bila shaka we ni kipanga hapo chuo. Huyo dada ànataka kubenefit kimasomo na kwa kuwa kaona wewe ushakuwa mdoli wake utapata tabu sana. Sasa cha kufanya we endeleza urafiki tu ukiona penzi limekuzidi tumia ukipanga wako kupata ukitakacho. Usipoangalia utakuwa mtumwa for life.
acha ubishi mpigamsuli
kama yanaumuhimu mapadre na makasis wangekufa mapena
unaendekeza mapenzi tena na wadada wa chuo?utakufa taratibu,,,
soma kwanza mbona wanakuja 2 wenyewe wewe,endekeza tu uyo temu kama hujadisc
ukiwa unangia maeneo ya vyuoni huwa kuna bango kubwa sana limeandikwa haya maneno "graduate with a's and not aids" itakuwa halioni hilo au labda anatafuta experience..
Nilikuwa nasoma sana zamani now now hata sisomi
WANA MMU NAOMBENI USHAURI KATIKA HILI MIMI NINA DEMU AMBAYE NIMEMTONGOZA MUDA MREFU LAKINI ANANIAMBIA KWAMBA NISUBIRI TUJUANE NDO ATAKUBALI TENA BAADAYE SANA SO ANATAKA TUWE MARAFIKI KWANZA NA MIMI NIMEKUBALI KWA SABABU ALISEMA HANA MPENZI HAPA CHUONI CHA AJABU KUNA JAMAA ANAMTOKEA NA KAKUBALIWA NILIAMBIWA NA MARAFIKI ZANGU SIKUAMINI KWA SABABU DEMU ALINIAMBIA HANA MTU HAPA CHUONI SIKU MOJA RAFIKI YANGU MMOJA AKAMUITA YULE JAMAA ANAYETOKA HUYU DEMU AKAMUULIZA DEMU WAKO HAJAMBO? AKAJIBU HAJAMBO AKAULIZWA JINA AKATAJA JINA LILELILE LA YULE DEMU NA NUMBER ZAKE AKATUONYESHA NA SMS ZAKE AKANIONYESHA SASA WAKUBWA NIFANYEJE NA DEMU NAMPENDA SANA SANA Naomba ushauri
Hilo halina mjadala, chapa lapa tafuta type yako!!!!Wewe ni zoba.
lakini ananiambia ananipenda na hata nimewahi kulala nae ila alikataaa kabisa kufanya mapenzi na mimi