Simuelewi huyu bibi

Tehe! tehe! tehe!......haya chunga milango yote, kwani unaweza kulinda mlango wa mbele wenzako wakawa wananchota maji kwa mlango wa uwani. Take care

kuna vitu nimeweka vitanialert tu...
 
unasema angemuhurumia bibi akampapasa kidogo! ah unaweza kukutana na kitu mnato! hata huyo mchumba akatoswa kisha waanze kulalama ooh bibi mchawi kaninyang'anya mchumba. kumbe kaikuta ndogo si mwajua mtu akikua inarudi mnatoo kasoro bikraa?
 
Heeeeh kumbeeeee!!!! I never knew!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…