Simuelewi Baba Mkwe wangu

Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
Hizi ni dalili za mzee mmoja jirani, kazaa na binti zake wawili wa kuzaa mwenyewe!

Inasikitisha lakini imetokea.

Yule binti mkubwa alichukuliwa na jamaa wakaanza kuishi, sasa wakigombana binti anakimbilia nyumbani.

Mume akimfuata wayamalize, jamaa alikuwa ananyanyaswa kinyama na ba'mkwe kwa matusi na kuwekewa mapingamizi ya kurudi na mwenziye nyumbani!

Wameenda wameendaa, kuja kugundua jamaa akajivua gamba kwa kubwaga manyanga.

Na ba'mkwe naye kurudishiwa binti yake ikawa kama chura kapigwa teke, ni sherehe!
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
Mpuuze tu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
ili akuheshimu inatakiwa ajue umemdharau na hakumizi kichwa fanya hivi siku akikupigia sm muulize yeye nani akijitambulisha usiombe msamaa muendee na mazungumzo

Mara ya pili akipiga tena sm fanya hivyo hivyo muulize wewe nani

Amini nakwambia utampa mzee stress za kukuwaza na ataanza kuheshimu
 
Kuna wazee wengine washenzi kweli wanatabia za kuwatafuna mabinti zao. Uumia wanapoolewa
 
Bora hata wako. Baba Mkwe wangu hana namba yangu ukimpigia kumsalimia anakuuliza we nani unajitambulisha siku zinaenda. Mara ya pili tena unaulizwa we nani mtu ana nguvu kabisa nkajitumia na ka pesa ka mafuta ya gari lake akaona ila hawezi kusevu namba. Mara ya 3 namsalimu anauliza tena we nani nikajitambulisha nika relax ni mwaka wa 3 huu salam nazisikia kwa mwanae. Akaanza niingilia kwenye familia yangu niliwasha Moto huko kwao hamna nae ongea nae sina shida kabisa staki ujinga
 
Ulituma na ya kutolea
 
Mkuu wewe tayari ni mtu mzima so unapaswa kuishi na watu wazima kama mtu mzima na uhakikishe nao wanakuchukulia kama mtu mzima na sio mtoto mdogo wa kumkoromea hovyo au kumkaripia wanavyotaka!
Hebu jikakamue muulize huyo baba mkwe wako ana maana gani kukupiga kijicho kijicho kama anakukaripia!???
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
Vaa uso wa Kanda ya ziwa, uone kama hajawa mpole

Hope umeelewa
 
Sasa unataka uongee nini na baba mkwe mkuu basi ukitaka hivyo mpe issue za kupata pesa hapo ndo mtakuwa na mazungumzo marefu.

Mimi siyo mkwe tu hata baadhi ya ndugu nikikutana nao kama baada ya salamu wao hawajaanza mazungumzo basi hapo tutakesha maana huwa sina cha kumsemesha mtu na kama ana mambo ya maana ya kuzungumza nitachangia kama hana napiga kimya,ni aina tu ya watu wako hivyo usichukulie ubaya.
That is so me.
 
Nimeshangazwa na baba mkwe wangu kuniangalia kwa ukali kila ninapo kutana nae iwe nyumbani kwangu au kwake.

Nimeoa binti yake na mahali nimelipa lakini mpaka leo sijajua kwanini hunionyesha sura ya aina hiyo. Nahisi kama si ukarimu wa mama mkwe wangu ningempiga stop kuja kwangu maana hii ni dalili ya uchawi. Akimuona mwanae anafurahi sana lakini akiniona tu unakua mkinywa mwenye sura ya ukauzu

Hata nilipompa ujauzito binti yake kabla sijamuoa mzee aliwahi kuniambia namtaka mwanae ili nipate ahueni ya kimaisha, lakini sikuwahi kumuomba hata chumvi huyu mzee mwenye mwenye tuhela twa tia maji tia maji.

Mtoto wake na mama mkwe wananipenda sana lakini dingi kauzu dagaa kama mwarabu fighter nipeni ushauri wazee au nimkate kidevu.

By mdau mmoja hapa Dar
mda wa kukaa kuangaliana na baba mkwe unautoa wapi???
 
Jiangalie wewe!! Wazee wengine wanakulaga hao mabinti tena vizuri tu halafu mbaya zaidi km Mkewe alimchepukia akazaa huyo Binti wa nje ya ndoa!! lazima mzee alijipinda hapo!!

siku hizi Mke akizaa nje mtoto wa kike lazima aliwe tuu stuka!!! wanafanana migongo na mkeo kwani?? anaumia/chukia utamu wake umeondoka!..sasa ataponea wapi?

Labda jiulize Binti uLimkuta Bikra?? na kama siyo alikwambia aliya mbikiri ni nani??? stuka Jombi!...mtoto wa kike wa nje ya ndoa ni malisana, wanatunzwa tu siku hizi!
 
Back
Top Bottom